Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Nilikuwa sijaamini mpaka nilipohakikishiwa na mtu wa karibu kwamba mfalme wa kisiwa cha hapo Guam analindwa na wanajeshi wa nchi tofauti

Nimesikitika sana sana sana,
Inamaana ukilindwa na wanajeshi wa nchi tofauti hapo hekaluni ndo wanaopigana vita ya uchumi utawashinda?

Nilimpuuza Dada mmoja anaishi anapokaa Mr ticha wa profesa Jay, aliposema kuna mfalme wa Guam analindwa na wanajeshi wa kanchi ka pembeni yake, nilimbishia ni kadhani ni kwakuwa yuko mlengo wa kushoto,

Lakin jana nimeamini kabisa na nimeshangaa sana

Nimeamini so kila habari ni ya kupuuza hata kama ni ya kipuuzi

Mungu awabariki watu wa Guam


Hv uongo utawasaidia nn? Watu kama nyie mtashukiwa jumla jumla.. Ooohh.. ihiiiiiiiii.. 🤕👮‍♂️
 
Fazaangu mdogo aliniambia kuwa MZEBABA NI MRWANDIZI,sasa na hii doh[emoji848].....uzuri sipendagi pendagi kuamini amini mahabari habari..! [emoji23]
 
Kumbe ni kawaida sana?

Hapo ndio utashangaa mnalishwa uzalendo uchwara mnakuja kuutapika humu ndani. Utasikia mtu anashiriikiana na mataifa ya nje kulihujumu taifa, huku yeye anawaamini watu wa nje kwa ulinzi wake!!
 
Kwani siku hizi Yohana Mtembezi hamfungamani naye tena mami?
Mimi ni mlokole wa Kikatoliki kundi la wanamaombi na wana karismatiki, tunakunywa kila kinywaji kilichobarikiwa, Divai ilibarikiwa, John Mtembezi ni distillation ya dhabihu safi nyekundu, hivyo napata kama kawa.
P
 
Kuna siku moja kuna mtu alisha wahi kuleta thread humu akisema, ofisi za kutengenezea kaunda suti wanapanga mikakati ya kumdhuru mzee wa mila wa hicho kiziwa cha Guam
 
Mkuu Kiongwe, sijaweka mikono nyuma popote, ila siku hizi nimekuwa mzalendo zaidi kwa kutanguliza mbele maslahi ya Taifa. Hili la kuhakikishiwa wilaya huku ni kama kunitukana fulani, please!.
P
Kaka makala zako huwa zinasisimua ni ngumu ni wachache sana mmebaki humu Jf tunachokiomba sema ukweli usiwe upande wa wanaosifu na kuabudu iliwapewe Wilaya au unamuhofia Musiba kaka
 
Back
Top Bottom