Nilikuwa sijui: Asilimia zaidi ya 40 ya barabara za US ziko katika hali mbaya

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
Nimeshangaa kumbe US nao kuna kipindi wanaungaunga. Kwa muda mrefu sana zaidi ya 40% ya barabara zao ziko chini ya kiwango na ni mbovu kwa muda mrefu.

Chanzo

My take.
Kama sisi tunategemea misaada kutoka kwa hawa jamaa ambao wenyewe tu wanashindwa kutatua changamoto zao,

Kunahaja ya kuanza kuanza kutatua changamoto za kitaifa katika levo za familia na mtu mmojammoja.
 
Ilikuwa mwaka gani?Hata hivyo kujilinganisha nao ni upotofu uliopea viwango.
 
Mleta mada ccm wamekuharibu akili,hapa ni NY jiulize bongo ilikua je hapo mzizima?

IMG_6226.jpg
 
Nimeshangaa kumbe US nao kuna kipindi wanaungaunga. Kwa muda mrefu sana zaidi ya 40% ya barabara zao ziko chini ya kiwango na ni mbovu kwa muda mrefu.

Chanzo

My take.
Kama sisi tunategemea misaada kutoka kwa hawa jamaa ambao wenyewe tu wanashindwa kutatua changamoto zao,

Kunahaja ya kuanza kuanza kutatua changamoto za kitaifa katika levo za familia na mtu mmojammoja.
Standards za ubora wa barabara zao na zetu ni tofauti sana.
 
Nimeshangaa kumbe US nao kuna kipindi wanaungaunga. Kwa muda mrefu sana zaidi ya 40% ya barabara zao ziko chini ya kiwango na ni mbovu kwa muda mrefu.

Chanzo

My take.
Kama sisi tunategemea misaada kutoka kwa hawa jamaa ambao wenyewe tu wanashindwa kutatua changamoto zao,

Kunahaja ya kuanza kuanza kutatua changamoto za kitaifa katika levo za familia na mtu mmojammoja.
Unataka kulinganisha barabara za USA na barabara zenye matuta kama viazi?
 
Ni kweli kabisa, USA barabara Dar-Moro kukiwa hata na shimo moja wanaandamana barabara mbovu.
images (8).jpeg

Dar moro hakuna hii kitu.

Hii ni Calfonia. Jamaa wanatishia hadi kushtaki serikali kwa sababu mashimo haya yanasababisha ajali.

Kumbuka jimbo tu la Calfonia lingekuwa nchi, ingekuwa ni nchi ya tano kiuchumi duniani nyuma ya India na Japan.
Wanauchumi wa Tril USD 3.7 sawa na TSh Trillioni zaidi ya 7000
 
Back
Top Bottom