Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 78,790
- 128,275
Kuna kipindi mzee wangu alikuja kwenye mkutano New York City.Tanzania sio mbaya tu bali sehemu kubwa ambapo barabara zipotakiwa kuwepo hazipo kabisa.
Barabara nyingi haziko katika kiwango.
Nilikuwa sijui kama nchi makini kama US yenye kugawa pesa hovyo, mfano mfano tangu 1947 imeshaipa israel msaaada zaidi ya Trillioni 900 wakati wanabarabara zinazoua raia, mashimo mengi.
Bila muktadha kama unabarabara zinazoua raia kwa miuktadha pote ni tatizo bila kujali idadi.
Kama US wanamalalamiko ya barabara zinazoua Raia kwa sababu ya ubovu basi hazifai kama ambavyo zetu hazifai kwa kuua wengi zaidi
Akaja kunitembelea kwangu, akawa anasema "Hawa Wamarekani wabishi, walalamishi sana. Yani wanaweza kutumia saa nzima kubishana comma ikae wapi kwenye sentensi".
Huwajui figisu zao hawa.
Yani mtu anaweza kuwa na barabara nzuri tu, akalalamika sana barabara zangu mbovu kabisa, kwa figisu za kisiasa tu apewe hela afanye mambo yake anayoyataka.
Wewe Mtanzania ukisoma mitandaoni kama hujafika Washington DC utajua dooh, barabara zao mbaya sana hawa.
US kuna corruption na matatizo mengi, barabara za DC zina matatizo yake, lakini muktadha ni muhimu.
Marekani hapo DC mtu akisema "barabara mbaya" anamaanisha kitu tofauti kabisa na kusema hivyo Tanzania.