matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Ilikuwa mwaka gani?Hata hivyo kujilinganisha nao ni upotofu uliopea viwango.Nimeshangaa kumbe US nao kuna kipindi wanaungaunga. Kwa muda mrefu sana zaidi ya 40% ya barabara zao ziko chini ya kiwango na ni mbovu kwa muda mrefu.
Chanzo
ASCEโs 2021 American Infrastructure Report Card | GPA: C-
The American Infrastructure Report Card from ASCE provides a look at America's infrastructure problems, such as bridge, water, transportation, and more.infrastructurereportcard.org
My take.
Kama sisi tunategemea misaada kutoka kwa hawa jamaa ambao wenyewe tu wanashindwa kutatua changamoto zao,
Kunahaja ya kuanza kuanza kutatua changamoto za kitaifa katika levo za familia na mtu mmojammoja.
Hii ni report ya miundombinu US 2021Ilikuwa mwaka gani?Hata hivyo kujilinganisha nao ni upotofu uliopea viwango.
Ungeitafuta ya 2022 hadi 2023.Hii ni report ya miundombinu US 2021
Ni kweli kabisa, USA barabara Dar-Moro kukiwa hata na shimo moja wanaandamana barabara mbovu.Hali mbaya yao ni kama masaki yetu na mikocheni yetu.
Standards za ubora wa barabara zao na zetu ni tofauti sana.Nimeshangaa kumbe US nao kuna kipindi wanaungaunga. Kwa muda mrefu sana zaidi ya 40% ya barabara zao ziko chini ya kiwango na ni mbovu kwa muda mrefu.
Chanzo
ASCEโs 2021 American Infrastructure Report Card | GPA: C-
The American Infrastructure Report Card from ASCE provides a look at America's infrastructure problems, such as bridge, water, transportation, and more.infrastructurereportcard.org
My take.
Kama sisi tunategemea misaada kutoka kwa hawa jamaa ambao wenyewe tu wanashindwa kutatua changamoto zao,
Kunahaja ya kuanza kuanza kutatua changamoto za kitaifa katika levo za familia na mtu mmojammoja.
Unataka kulinganisha barabara za USA na barabara zenye matuta kama viazi?Nimeshangaa kumbe US nao kuna kipindi wanaungaunga. Kwa muda mrefu sana zaidi ya 40% ya barabara zao ziko chini ya kiwango na ni mbovu kwa muda mrefu.
Chanzo
ASCEโs 2021 American Infrastructure Report Card | GPA: C-
The American Infrastructure Report Card from ASCE provides a look at America's infrastructure problems, such as bridge, water, transportation, and more.infrastructurereportcard.org
My take.
Kama sisi tunategemea misaada kutoka kwa hawa jamaa ambao wenyewe tu wanashindwa kutatua changamoto zao,
Kunahaja ya kuanza kuanza kutatua changamoto za kitaifa katika levo za familia na mtu mmojammoja.
Ni dharau sana, kulinganisha ulimwengu wa kwanza na ulimwengu wa tatu.
Mkuu,ni wapi mleta mada amelinganisha Barabara za US na Barabara za Tz?Unataka kulinganisha barabara za USA na barabara zenye matuta kama viazi?
Ni kweli kabisa, USA barabara Dar-Moro kukiwa hata na shimo moja wanaandamana barabara mbovu.
๐๐๐๐Infact sisi hata kwenye ulimwengu wa 3 hatumo, sema tu kwavile hakuna ulimwengu mwingine wa kutuweka zaidi ya huo.
Ndio maana najiulizs mtaani kwetu kuna kabarabara kabovu balaa. Sasa hadi nchi itufikie wakati watoa msaada nao barabara zimejaa makorongo kuna haja ya kujitutumua tu tutengeneze wenyewe ili tuwahi mishe.asilimia 90 za barabara za tanzania zipo uchi