Kilichoongelewa sio direct imelinganishwa ila usome uzi vizuri, haihitaji akili nyinyi kujua nini kinaongelewa.Mkuu,ni wapi mleta mada amelinganisha Barabara za US na Barabara za Tz?
naona wengi wanasema hivyo!
Hii ni sababu nzuri. Nchi ile ni kubwa sana alafu watu wengi changamoto kama hizi ni kawaida.Nadhani ni kwa sababu wana mtandao mkubwa sana wa barabara. Tofauti na sisi.
Nilikuwa sijui kama US superpower wa dunia kuna mabarabara mabovu zaidi ya 40% na tena kwa muda mrefu. Tena hadi wananchi wanalalamika mashimo yanawaletea ajali.Kilichoongelewa sio direct imelinganishwa ila usome uzi vizuri, haihitaji akili nyinyi kujua nini kinaongelewa.
Mleta mada anaongelea ubovu wa barabara za USA, sasa huwezi kumsema mtu wakati kwako hakuko sawa.
Atakuwa haijuiChini ya kiwango yao unaijua lakini[emoji23]
View attachment 2904638
Dar moro hakuna hii kitu.
Hii ni Calfonia. Jamaa wanatishia hadi kushtaki serikali kwa sababu mashimo haya yanasababisha ajali.
Kumbuka jimbo tu la Calfonia lingekuwa nchi, ingekuwa ni nchi ya tano kiuchumi duniani nyuma ya India na Japan.
Wanauchumi wa Tril USD 3.7 sawa na TSh Trillioni zaidi.
Itakuwa California mashambani wanakolima maparachichi, karanga, machungwa n.kView attachment 2904638
Dar moro hakuna hii kitu.
Hii ni Calfonia. Jamaa wanatishia hadi kushtaki serikali kwa sababu mashimo haya yanasababisha ajali.
Kumbuka jimbo tu la Calfonia lingekuwa nchi, ingekuwa ni nchi ya tano kiuchumi duniani nyuma ya India na Japan.
Wanauchumi wa Tril USD 3.7 sawa na TSh Trillioni zaidi ya 7000
Huko kwenu ni asilimia ngapi?Nimeshangaa kumbe US nao kuna kipindi wanaungaunga. Kwa muda mrefu sana zaidi ya 40% ya barabara zao ziko chini ya kiwango na ni mbovu kwa muda mrefu.
Chanzo
ASCE’s 2021 American Infrastructure Report Card | GPA: C-
The American Infrastructure Report Card from ASCE provides a look at America's infrastructure problems, such as bridge, water, transportation, and more.infrastructurereportcard.org
My take.
Kama sisi tunategemea misaada kutoka kwa hawa jamaa ambao wenyewe tu wanashindwa kutatua changamoto zao,
Kunahaja ya kuanza kuanza kutatua changamoto za kitaifa katika levo za familia na mtu mmojammoja.
99Huko kwenu ni asilimia ngapi?
😄Itakuwa California mashambani wanakolima maparachichi, karanga, machungwa n.k
Jamaa sijui katuonaje yaaaniItakuwa California mashambani wanakolima maparachichi, karanga, machungwa n.k
why?Marekani ameacha jenga barabara miaka ya 80 kwa ufupi Marekani haijengi barabara tena
Labda ,machofu ya maboksi yamemchanganya , pengine yuko huko😄
Mkuu hautaki au CNN zimekubrainwash
Pesa wanaenda kupeleka kweny vita ambavyo zinaendelea kila siku havitoisha.View attachment 2904735
Campton, USA.
Wamezoea Movie.
Huyu Engineer ilitakiwa aswekwe ndani na Biden.
Mkuu sisi kinachotumaliza kiakili na kiubunifu ni CCMNimeshangaa kumbe US nao kuna kipindi wanaungaunga. Kwa muda mrefu sana zaidi ya 40% ya barabara zao ziko chini ya kiwango na ni mbovu kwa muda mrefu.
Chanzo
ASCE’s 2021 American Infrastructure Report Card | GPA: C-
The American Infrastructure Report Card from ASCE provides a look at America's infrastructure problems, such as bridge, water, transportation, and more.infrastructurereportcard.org
My take.
Kama sisi tunategemea misaada kutoka kwa hawa jamaa ambao wenyewe tu wanashindwa kutatua changamoto zao,
Kunahaja ya kuanza kuanza kutatua changamoto za kitaifa katika levo za familia na mtu mmojammoja.
Mzee wa Bakhmut nawaonaje au mnaionaje US.
🤣🤣🤣🤣😂Infact sisi hata kwenye ulimwengu wa 3 hatumo, sema tu kwavile hakuna ulimwengu mwingine wa kutuweka zaidi ya huo.
Define "mbaya sana" kwa muktadha wa Marekani na "mbaya sana" unayoielewa wewe, kwa muktadha wa Tanzania.Nimeshangaa kumbe US nao kuna kipindi wanaungaunga. Kwa muda mrefu sana zaidi ya 40% ya barabara zao ziko chini ya kiwango na ni mbovu kwa muda mrefu.
Chanzo
ASCE’s 2021 American Infrastructure Report Card | GPA: C-
The American Infrastructure Report Card from ASCE provides a look at America's infrastructure problems, such as bridge, water, transportation, and more.infrastructurereportcard.org
My take.
Kama sisi tunategemea misaada kutoka kwa hawa jamaa ambao wenyewe tu wanashindwa kutatua changamoto zao,
Kunahaja ya kuanza kuanza kutatua changamoto za kitaifa katika levo za familia na mtu mmojammoja.
Ni mbaya kiasi cha kulalamikiwa kusababisha ajali.Define "mbaya sana" kwa muktadha wa Marekani na "mbaya sana" unayoielewa wewe, kwa muktadha wa Tanzania.
Nimecheka kama fala yaani.Infact sisi hata kwenye ulimwengu wa 3 hatumo, sema tu kwavile hakuna ulimwengu mwingine wa kutuweka zaidi ya huo.
Bado huja define mbaya ni nini kwa muktadha wao na wetu. Hata barabara nzuri ikiwa na dereva asiye makini ajali inaweza kutokea.Ni mbaya kiasi cha kulalamikiwa kusababisha ajali.
Hii ni sehemu ya nukuu kuhusu hali ya barabara Washington DC kwa Mujibu wa ASCE
American Society of Civil Engineering (ASCE) gave Washington D.C.’s roads a D+rating. The annual infrastructure report found that less than half of D.C.’s roads were in “good” condition, while 25% were in “poor” or “worse” condition. According to the report, D.C. is one of the most congested cities in the country, averaging 82 hours of delay per driver each year
Tanzania sio mbaya tu bali sehemu kubwa ambapo barabara zipotakiwa kuwepo hazipo kabisa.Bado huja define mbaya ni nini kwa muktadha wao na wetu. Hata barabara nzuri ikiwa na dereva asiye makini ajali inaweza kutokea.
Mimi nimeendesha gari barabara za Tanzania na hizo barabara za Washington DC. Sizijui kwa kusoma mitandaoni, nimeendesha gari kote huko.
Hawa watu inawezekana wakawa na kishimo kimoja kwa kilomita tano wakaiita barabara mbaya.
Hawa hata kukiwa na foleni tu wanasema barabara mbaya, kwa maana ya kwamba planning ya barabara ni mbaya, barabara haitakiwi kuwa na foleni.
Halafu wewe ukisikia wanaiita barabara mbaya unafikiria ni sawa na barabara mbaya ya Bongo ambayo ina mashimo kama sehemu iliyopigwa mabomu huko vitani Vietnam.