Nililogwa ili nife kwa kisukari na pressure

Nililogwa ili nife kwa kisukari na pressure

Hongera Kwa kufata njia sahihi'....ila hujatueleza jee kazi uliacha?na jee baada ya kutoka ulimuuliza chochote yule kijana ulie kua una mlea?na jee vipi kuhusu mke Bado mko wote au matatizo yaliwatenganisha!!
Kazi niliacha ila baadaye nikaja pata kazi serikalini. Jamaa sijawahi muuliza wala ongea naye wala sasa sijui yupo wapi maana mimi niliondoka huko Katavi. Mke ninaye na kweli alisimama sana nami kwenye jaribu. Hakunikimbia wala kuninyanyasa wala kunisema vibaya mnyamwezi wa watu. Ni mke mwema Mungu aliyenipa.
 
Hivi udi una uhusiano gani na mambo ya kishirikina? Kuna mwamba mmoja kazini kwetu ndio michongo yake... ila yeye hafichi, anqsema kwao ni waganga waganga (yeye mwenyewe, dingi n.k)
Udi ni chakula Cha majini
 
Wamakonde waliwafanyia sana michezo hii watu wa mikocheni,na mbezi walioishi mamtoni yaani mtu yupo ulaya anajenga nyumba anaweka mlinzi anakaa na familia yake analogwa huko huko ulaya Wala hakumbuki Kama ana nyumba bongo
 
Back
Top Bottom