bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Mkristo unarogwaje Sasa na wewe unakubali
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee nimeshakupuuzia, ngoja mikuweke kwenye ignore listSasa hiyo Sukari na Pressure imepona au yalikuwa mawenge yako na uzuzu wako
Nimekulia Lutheran wazee wangu wakiwa wazee wa Kanisa. Ujana ukanitenga na Mungu na nilikuwa napinga uwepo wa Mungu kama visela mavi vya JF vinavyofanya. Nilikiwa mzinzi wa kupindukia na hivyo kumpa uhalali Ibilisi kunishughulikia. Namshukuru Mungu pamoja na yote, neema ilikuwa kibwa kwangu bro na ndio salama yangu hiyo.Mkristo unarogwaje Sasa na wewe unakubali
Wanawake Wana macho ya rohoni tuwe tunawasikiliza,Mimi niliambiwa nisinunue shamba nikanunua kwa Siri nikapigwa na kampuni ya kuuza viwanjaMkuu leta vitu ili watu wajifunze mambo ya kujenga nyumba na kutafuta sijui kijana sijui mlinzi akakae mwisho wa siku anaona pale ni pake na kuleta tafrani na maumivu kwenye familia. Binadamu wengine wapuuzi sana. Na umshukuru sana mkeo maana jamaa alidhamilia upasahau kabisa na alikufanyia wewe alisahau kumfanyia mkeo. Mkeo ile nguvu ya kusema tuhamie kwetu ilikuwepo.
Ni sawa sister na ni kweli dunia inatufundisha ukatili na sikuwahi kujeruhika Moyo kama nilivyojeruhiwa na huyo jamaa ila hatutakiwi kuacha kutenda mema kwani ni agizo na principle za Kimungu. Yatupasa tusizimie mioyo kwa tunayofanyiwa na wanadamu, tuangalie Mungu anasemaje.Nilishaachaga kutendea wema watu kiasi hiko zaman sana, usichokijua tu shida nyingi na mateso mengi tunayopitia huletwa na watu wa karibu yetu sana na tunaowasaidia. Achana na huruma za kijinga
Ni kweli bro.Wanawake Wana macho ya rohoni tuwe tunawasikiliza,Mimi niliambiwa nisinunue shamba nikanunua kwa Siri nikapigwa na kampuni ya kuuza viwanja
Acha kuamini ujingaSema sana mkuu ila omba yasikukute. Hata UKIMWI unapandikizwa isije sukari wakari pepo linaemda kukaa kwenye kongosho then linaleta shida.
SEHEMU YA TANO:
Wakati maumivu na mateso yanaendelea na hata nilipokuwa naenda Hospitali pamoja na wao kunipa Dawa kwa ajili ya Ugonjwa wa sukari na pressure, sikuwahi kuzitumia hizo dawa kwani nafsi yangu ilikuwa inaniambia huo sio ugonjwa wa kibinadamu. Mama yangu alinieleza kuwa mwanangu huo sio ugonjwa wa kawaida ni Mapepo hayo. Muangalie Mungu.
Kipindi chote hiko na maumivu yote, kukataliwa na kusemwa vibaya, kukonda n.k hakuna Dr aliyenithibitishia kuwa nina either pressure au sukari. Nikaamua maamuzi ya kumtafuta Mungu.
Kulikuwa na kanisa moja la kilokole lililokuwa limejengwa kwa miti na juu limeezekwa kwa nyasi jirani na hapo kwangu. Huyo Mchungaji alikuwa ni yeye na mkewe na watoto tu na kimsingi nilikuwa namdharau na pamoja nilikulia kwenye familia ya wazee wa Kanisa ila nilikuwa napinga uwepo wa Mungu. Nikaona kwanini niteseke wakati nimekulia kwa Baba na Mama ambao ni wazee wa Kanisa. Nimekulia na kulelewa katika maadili ya Kikristo na nakumbuka Mwaka 1998 Bwana aliniambia na nilimuona waziwazi katika Maono ya usiku kuwa nitamtumikia. Nikasema, sifi nitaishi ili nitangaze matendo makuu ya Bwana. Nikachukua hatua na kwenda Kanisani kwa yule Mchungaji.
Hapo ndipo maisha yangu yalibadilika, nikaokoka na kumkabidhi Yesu Maisha yangu na tola mwezi huo wa kumi 201.... imebaki kuwa historia. Vile vifaa nikavitoa msaada hospitali moja huku nilipo sasa japo changamoto hiyo ilinifanya nikimbie kutoka kule na pia nilipoteza nyumba yangu ambayo nilikuja uiza kwa hasara, mashamba ekari 50 ambazo wasukuma waliofukuzwa kwenye maeneo ya hifadhi wakati wa Operation tokomeza ujangili walizivamia na viwanja 6 (sita) nilivyokuwa nimenunua niliviacha na kukimbia japo navyo nilikuja kuuza kwa hasara.
Sasa nina amani na kumtukuza Mungu japo nilipoteza vingi vya kimwili ila ninauzima na nimepata vingi vya Kiroho ikiwemo kumjua Mungu wa kweli yaani Yesu Kristo.
Asanteni wote na tumefikia MwishoView attachment 2633258
Hongeraa Kwa kuponaSEHEMU YA TANO:

Hahhahaha! Ni kweli kabisa mkuu hasa ukipata mwanamke mwenye maono ya mafanikio.Wanawake Wana macho ya rohoni tuwe tunawasikiliza,Mimi niliambiwa nisinunue shamba nikanunua kwa Siri nikapigwa na kampuni ya kuuza viwanja
Haya hongera mkuu.Acha kuamini ujinga
HahaaaaaaaaIla huko ulikokuwa ni wachawi sana, Kuna dada alitegwa yaani ukitaka kumla papuchi huioni, nimeona live
Alafu nini kifuate baada ya kutengeneza hizo script?Ila watu wanajua sana kutengeneza scripts hiz aisee