Nilimpa namba kwa huruma, kumbe ana heka heka

Wee hujui tu my dear wale wanapata hela hatari.

Kwenye hilo akiamua makusanyo ya siku nzima akuletee je utakataa?

Ile si kauli ya kumfukuza bali ni kama imemwambia ajipange. Lol.
Mtizamo wako
 
 
"kumpa kidogo aliye hana, haiwezi kukufilisi" MullaObo
 
MUNGU hanyimi kilakitu mpe utatuletea majibu hapa

pia usisahau vipepeo wako wakila aina usifikirie niombaomba mudawote
 
M/Mungu ana siri kubwa sana juu ya ukamilifu wa binadamu ujue!

Achana na ulemavu wenye kuonekana kama unaouongelea hapa, kila mmoja wetu ana ulemavu wake personal, hakuna aliyekamilika.

Na juu ya majaliwa ni hivyo hivyo.

Huyo unayemuona ana miguu legelege lakini waweza kuta mashine inasaga na kukoboa safi kabisa kuwazidi unaowaona ni wazima wa miguu.

Kuhusu kufanya, si unajua ni kama sumaku ile: anapandishwa na kunasa mwenyewe vizuri tu na anaweza kukukoleza hadi ukadata na jamii ikakustaajabu!
 
sio kupenda kwao wakapata ulemavu ndugu yangu tema mate chini. Wengne unakuta labda ajali imewafanya hivyo. Hakuna mtu anayezaliwa akiwa na laana my friend.
sio kupenda kwao wakapata ulemavu ndugu yangu tema mate chini. Wengne unakuta labda ajali imewafanya hivyo. Hakuna mtu anayezaliwa akiwa na laana my friend.
Dogo sisemi hivyo kisa nina roho mbaya kuliko watu wote Etii

Maisha si hisia tu japo hisia ndio ujenzi halisi wa maisha

Niamini ninapowatukana kuwa nyie ni Mazoba sichekeshi naamisha
 
Dogo sisemi hivyo kisa nina roho mbaya kuliko watu wote Etii

Maisha si hisia tu japo hisia ndio ujenzi halisi wa maisha

Niamini ninapowatukana kuwa nyie ni Mazoba sichekeshi naamisha
cha kwanza mimi sio dogo niite tu mopak inatosha. Na pili kulingana na kampen ya matusi nilishaimaliza sa kusema sisi mazoba sikuelewi kabisa na nimejiuliza ni wapi nimetumia lugha ya matusi nilipokuquote au nilipocoment. Wewe ni adui ambaye nnakumudu na sio wa kuachia sijui mungu no, bali nakuomba urekebishe kauli yako ya uzoba coz nakwambia hata wewe kesho unaweza ukawa kilema aidha umepanda boda au bajaj ukapata ajali miguu huna au mikono huna. Kilema hachekwi bali ni kumrekebisha anapokosea na ataelewa na hili la huyu dada na kilema ni swala la kuwekana sawa tu na maisha yakasonga. Sio eti cjui kutukana, matusi nayajua kweli lakin siwez tukanana na zombie silijui na sijawahi kuliona. Wewe nadhan kufka uniite dogo ni mtu unajielewa lakin hapo kwa uzoba umefel?!¿
 
U fvk me lot lot

Sikia man beta than Dogo

Kuhusu kurebishisha fvck off even dare

Man U muslim ni mabwege even dogogosha state u are useleesiiii jerk off
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…