Nilimpa namba kwa huruma, kumbe ana heka heka

Nilimpa namba kwa huruma, kumbe ana heka heka

🤣🤣🤣🤣 mkuu unataka kututia dhambi dah!
Hawa washenzi ndo maana nimecha kusaidia omba omba yaani buku langu akato@&$ee dah!
hilo nalo hitaji na msingi jamani baada ya kula
Na yeye mtu pia🤣
 
Sahihi kabisa,mlemavu kisha fanikiwa tayari,

Hawa kilichobaki ni hawaaminiani kwenye malipo tu,

Ni sawa na mteja atake kulipa baada ya bidhaa kua delivered,na muuzaji atake mteja alipe kwanza kabla ya kudelivery mzigo.
Wakipatana tu kwenye namna ya malipo, kazi kwisha.
 
Kwake si ni miguu ndo haina nguvu umesema? Huyo nakwambia anawekukufinya hadi maji uite maa. Mpe tu kama ni guest unapaogopa nenda nae kwake kama mtu wa usafi upigwe miti usahau pichu yako. Au mbinu nyingne maana ni kama guesu za huko unajulikana nenda hata nje ya mji umpe tu coz na yeye ana hisia tena kali.
 
Sababu kataka kuharibu mission ya huyo mtu sasa sisi tutahakikishaje km ni kweli bila picha yake?
Sema nyie hamkuelewa point ya msingi.
Hoja ilikuwa kuonesha kwamba hawa watu tunaowaonea huruma wakati mwingine hawastahili huruma. Huenda wana kikubwa kuliko Sisi tunaowahurumia. Sema sasa vile wa Tanzania wanawaza Sana ngono wakakimbilia kwenye ishu za kupeana wakaacha hoja za msingi.
 
Mtu akwikama ujue Kuna kilichomkwamisha 'najua hiki unajua'

Walemavu wana laana tena ngumu vile jamii imefundishwa kuwahurumia hapo si vibaya ila Kuna fukuto gumu mtu anapozaliwa asiyeweza
sio kupenda kwao wakapata ulemavu ndugu yangu tema mate chini. Wengne unakuta labda ajali imewafanya hivyo. Hakuna mtu anayezaliwa akiwa na laana my friend.
 
Back
Top Bottom