Binti wa zamani una mzaha sana wewe. Wale ni kama mashine ya kusaga na kukoboa, all in one!😄View attachment 3604218
Aiseeh, kumbe hadi wao huwa wanaomba tamu.
Kila nikijaribu kuvuta picha itakavyokua naona giza, naomba ukishampa uje utusimulie huwa inakuwaje kuwaje.
Maisha haya si ya kuchukulia serious sana 😁Binti wa zamani una mzaha sana wewe.
Nielezee vizuri, hapo bado umeniacha njia panda.Wale ni kama mashine ya kusaga na kukoboa, all in one!😄
Maneno yangu hayatatosha. Mpe challenge mmoja wao upate firsthand experience!😁Maisha haya si ya kuchukulia serious sana 😁
Nielezee vizuri, hapo bado umeniacha njia panda.
😂😂😂😂 Eti anapewaje pewaje we mpe tu hivyo hivyoGuys hope mko Salama. Kwenye pitapita zangu za utafutaji kuna omba omba mmoja ni mlemavu wa miguu.
Yani ni wale mikono ni miguu na miguu imelegea kabisa haina kazi...anatembelea wheelchair kwa kusukumwa na ndugu yake. Sasa huyu mhitaji alikuwa anafika kila siku kupata huduma maeneo ninapotafutia riziki.
Binafsi huwa akifika ninamkaribisha na kuhakikisha amehudumiwa na amekuwa muda wote anatabasamu. Kumbe mwenzangu ana wazo lake moyoni bwana.
Kazi inaanza akaomba namba ya simu madai yake anataka awe anauliza kama tumefungua au lah kabla hahaha.
Nikampatia bila hiyana. Baada ya kutoa namba akawa anasumbua kupiga me nikawa namkatia.... Siku iliyofuata akarudi bwana amefuraaaa kwa hasiraaa. Me nikakausha akahudumiwa akapita hivi.
Sasa Jana amerudi tena akawa ana furaha lakini analalamika sana eti nimemdharau. Ananiambia "wewe nikubali bwana shida ndogo ndogo utazisikiaa kwa jirani.
Vipengele vyako vyote we niachie." Yule anayemsukuma kwenye wheelchair anasema jamaa ana mpunga mrefu hatarii. Na kweli kila wakimaliza matumizi wanaingia mpesa kudiposit...
Sasa Mimi nimejiuliza huyu kaka/baba kwa Hali ile anapewaje pewaje? Halafu kumbe omba omba wana HeLa kiasi hicho kwamba miamala ya million + anatatua bila shida? Na amekubali kila siku akae kwenye lami kutafuta miamala kwa kudhalilika kumbe ana akiba kubwa tu?
Me nikiwaona omba omba nawahurumia natoa ki buku cha akiba wakati mwingine Hadi mbasa au vitaraa halafu ndo wanakuwa na ka umalaya hivi? Asee nimeamini dar kila mtu ana njia yake ya utafutaji.
Back kwenye point kusema kweli me namuonea huruma kwamba nimpee na Hali ile hapana. Nitakuwa nambaka.
Na ni design kama ashavutiwa vile bado tu kutenga muda wa kumpa ili miamala ianze kuflowView attachment 3604218
Aiseeh, kumbe hadi wao huwa wanaomba tamu.
Kila nikijaribu kuvuta picha itakavyokua naona giza, naomba ukishampa uje utusimulie huwa inakuwaje kuwaje.
Unaanzisha ugomvi lakini. Kuhusu hao jamaa, nilielezwa nabinti mmoja kuwa ni wahongaji wakuu, hivyo cacutee asione ajabu. Ila huwa wanawabeba mgongoni anakuwa kama amebeba mtoto, haoooo guest. Mengine historia.Wewe ushamkubali unataka sisi tukupe go ahead.!!
Ila cacutee zoazoa huachi kitu 😹😹😹
Hii episode ya ngapi?
Ni ukweli G sio ugomvi 😹Unaanzisha ugomvi lakini. Kuhusu hao jamaa, nilielezwa nabinti mmoja kuwa ni wahongaji wakuu, hivyo cacutee asione ajabu. Ila huwa wanawabeba mgongoni anakuwa kama amebeba mtoto, haoooo guest. Mengine historia.
Unamrushia kwangu na mimi sina ubavu kama wewe! Ila naamini utanilinda na makombora ya IranNi ukweli G sio ugomvi 😹
Kwahiyo cacutee alimbeba wakazama gesti, wewe ndo mchokozi sasa!!
Mpe k bhanaGuys hope mko Salama. Kwenye pitapita zangu za utafutaji kuna omba omba mmoja ni mlemavu wa miguu.
Yani ni wale mikono ni miguu na miguu imelegea kabisa haina kazi...anatembelea wheelchair kwa kusukumwa na ndugu yake. Sasa huyu mhitaji alikuwa anafika kila siku kupata huduma maeneo ninapotafutia riziki.
Binafsi huwa akifika ninamkaribisha na kuhakikisha amehudumiwa na amekuwa muda wote anatabasamu. Kumbe mwenzangu ana wazo lake moyoni bwana.
Kazi inaanza akaomba namba ya simu madai yake anataka awe anauliza kama tumefungua au lah kabla hahaha.
Nikampatia bila hiyana. Baada ya kutoa namba akawa anasumbua kupiga me nikawa namkatia.... Siku iliyofuata akarudi bwana amefuraaaa kwa hasiraaa. Me nikakausha akahudumiwa akapita hivi.
Sasa Jana amerudi tena akawa ana furaha lakini analalamika sana eti nimemdharau. Ananiambia "wewe nikubali bwana shida ndogo ndogo utazisikiaa kwa jirani.
Vipengele vyako vyote we niachie." Yule anayemsukuma kwenye wheelchair anasema jamaa ana mpunga mrefu hatarii. Na kweli kila wakimaliza matumizi wanaingia mpesa kudiposit...
Sasa Mimi nimejiuliza huyu kaka/baba kwa Hali ile anapewaje pewaje? Halafu kumbe omba omba wana HeLa kiasi hicho kwamba miamala ya million + anatatua bila shida? Na amekubali kila siku akae kwenye lami kutafuta miamala kwa kudhalilika kumbe ana akiba kubwa tu?
Me nikiwaona omba omba nawahurumia natoa ki buku cha akiba wakati mwingine Hadi mbasa au vitaraa halafu ndo wanakuwa na ka umalaya hivi? Asee nimeamini dar kila mtu ana njia yake ya utafutaji.
Back kwenye point kusema kweli me namuonea huruma kwamba nimpee na Hali ile hapana. Nitakuwa nambaka.
Utaongeza kitambiHapana mkuu bora nikanywee beer nipunguxr stress!
Dogo utapasukaNamaanisha tabia moja, ka wewe na ndoa zako za kariakoo