Nilimpa namba kwa huruma, kumbe ana heka heka

Nilimpa namba kwa huruma, kumbe ana heka heka

Njoo unisaidie kumshikiliaa maana dah 🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli wanaume akili sawa tu
🤣🤣🤣 Kila nikijaribu kupata picha naona chenga jamani 😅😅😅.
Inabidi mtafute Lodge ambayo Haina Ngazi 🤣🤣🤣.
Na uwe na nguvu ya kumnyanyua kumuweka kitandani.
 
🤣🤣🤣 Kila nikijaribu kupata picha naona chenga jamani 😅😅😅.
Inabidi mtafute Lodge ambayo Haina Ngazi 🤣🤣🤣.
Na uwe na nguvu ya kumnyanyua kumuweka kitandani.
🤣🤣🤣
Acha ungese basi na ww bana...
Kajamaa konyo Sana haka
 
Huyo ni mlemavu wa miguu na sio Dushe,nae ana hisia pia kama binadamu wengine,

Mlemavu muda si mrefu anaenda kula tunda kimasihara,akomae kidogo tu coz hapo alipofikia ni kama amesha fanikiwa tayari.
Kashafanikiwa naye mjanja hataki utapeli. Kama pesa aende akapigwe ndio apewe biashara iishe🤣🤣🤣
 
Mpee tu nae ateleze, ni binadamu kama wewe, wana hisia pia !!!!
Ukiamua kumpa mpe, ila usipokee hela yake...

Experience kwa watu wa hivo ? Wanapeleka moto fresh tu, angalia porn za disabled people utapata uzoefu kiasi chake.... kila la kheri
Hata Kama ni upwiru asee hapana....kazi yangu inanikutanisha na watu wengi Sana bora nipee mmoja huko sio kubaka maana ule ni ubakaji
 
Back
Top Bottom