Nilimpa namba kwa huruma, kumbe ana heka heka

Nilimpa namba kwa huruma, kumbe ana heka heka

Ikiwa huyo mlemavu ila anakaribia kukutafuna,sipati picha kwa wasiokua walemavu jinsi wanavyojipigia kimasihara kila siku.
Sio kirahisi hivyo
Ulitaka nimtukane?? Mtu Mwenyewe tayar ana tatizo ... Kwani kumtakaa mtu ni lazima umtukane?
Unamuonea wivu mtu Hana hata miguu jamani.... Ulitaka nimtukane... sasa sijamtukana mwaya
 
Mama weee 🤣🤣🤣🤣 sipati picha.
Ko atasindikizwa na anayemtembeza au wewe ndo utamsukuma kuingia Lodge 🙆😅au mimi ntakuja nifanye hiyo kazi
Njoo unisaidie kumshikiliaa maana dah 🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli wanaume akili sawa tu
 
Mpee tu nae ateleze, ni binadamu kama wewe, wana hisia pia !!!!
Ukiamua kumpa mpe, ila usipokee hela yake...

Experience kwa watu wa hivo ? Wanapeleka moto fresh tu, angalia porn za disabled people utapata uzoefu kiasi chake.... kila la kheri
 
Back
Top Bottom