Nilimpa namba kwa huruma, kumbe ana heka heka

Nilimpa namba kwa huruma, kumbe ana heka heka

Anataka vitendo na yeye apewe pesa na ombaomba 😹😹😹
Na atampa kweli huyu dalili zimeonyesha kakaa kibra tayari..!!
hizo message tu anavyoandika anaonyesha vingi kumuhusu, Dm itajaa sana leo.
 
Hata Kama ni upwiru asee hapana....kazi yangu inanikutanisha na watu wengi Sana bora nipee mmoja huko sio kubaka maana ule ni ubakaji

Woga wako tu.... anaweza kuperfome mpaka ukashangaa.... au fanya hivi kama kweli humtaki, muombe kitu kiko nje ya uwezo wake mfano kiwanja....atakupotezea tu mwenyewe
 
Back
Top Bottom