Nilimpa namba kwa huruma, kumbe ana heka heka

Nilimpa namba kwa huruma, kumbe ana heka heka

Kashafanikiwa naye mjanja hataki utapeli. Kama pesa aende akapigwe ndio apewe biashara iishe🤣🤣🤣
Sahihi kabisa,mlemavu kisha fanikiwa tayari,

Hawa kilichobaki ni hawaaminiani kwenye malipo tu,

Ni sawa na mteja atake kulipa baada ya bidhaa kua delivered,na muuzaji atake mteja alipe kwanza kabla ya kudelivery mzigo.
 
Sina tabia ya kublok mtu kwa taarifa yako. Ya ni simu yangu unipe shida ya kukublok?? We kaa hapo utakavyo. Au uje tumpe wote?
Sasa hasira za nini? uzi si umeuleta wewe mwenyewe?
Vumilia tu wachangiaji ndio ukomavu wenyewe huo,
Usikimbilie kutukana watu hapa usije ukajuta.
 
Back
Top Bottom