Nilimpa namba kwa huruma, kumbe ana heka heka

Nilimpa namba kwa huruma, kumbe ana heka heka

Back kwenye point
Mwambie huyo jamaa kaharibu mission ishaharibika na unajua nini nikwambie sio ombaomba wote hawana viungo wengine wana viungo mwili mzima ila ni ombaomba balaa huyo ni mlemavu wa viungo disabled person sio kwamba kua hivyo basi moja kwa moja anapata gateway ya kua ombaomba kwa hio kwa sababu ni mlemavu wa viungo wewe umehalalisha moja kwa moja kwamba huyu ni ombaomba tu km wengine kumbe wapo ambao sio ombaomba ila ni walemavu tu wa viungo mfano hivi yule DC wa kule wapi kule wewe utamuitaje ombaomba? Nimekuuliza tu
 

Attachments

  • JamiiForums-1321203365.png
    JamiiForums-1321203365.png
    54 KB · Views: 21
Back
Top Bottom