AYnay
JF-Expert Member
- May 7, 2026
- 1,704
- 4,504
Usidharau ntu, ( kesho ya ntu ipo kwa Mungu au shetani ).wewe nikubali bwana shida ndogo ndogo utazisikiaa kwa jirani.
Back kwenye point kusema kweli me namuonea huruma kwamba nimpee na Hali ile hapana. Nitakuwa nambaka.
wewe nikubali bwana shida ndogo ndogo utazisikiaa kwa jirani.
Back kwenye point kusema kweli me namuonea huruma kwamba nimpee na Hali ile hapana. Nitakuwa nambaka.