cacutee
JF-Expert Member
- Apr 9, 2024
- 1,949
- 5,157
- Thread starter
- #161
Siwez kwanza mm sio muumini wa vitu vikubwaKwake si ni miguu ndo haina nguvu umesema? Huyo nakwambia anawekukufinya hadi maji uite maa. Mpe tu kama ni guest unapaogopa nenda nae kwake kama mtu wa usafi upigwe miti usahau pichu yako. Au mbinu nyingne maana ni kama guesu za huko unajulikana nenda hata nje ya mji umpe tu coz na yeye ana hisia tena kali.