Nilimpa namba kwa huruma, kumbe ana heka heka

Hao wana hisia kama watu wa kawaida. Ukikaa nao ukapiga story nao wanafunguka sana mpaka mahusiano yao.

Kama wa Pale Magogoni ferry kipindi cha nyuma walikuwa mpaka wana ratiba ya siku za kuingia kuomba na wanawajua Madon wote wanaovuka na watoaji.
 
😂😂😂😂 Eti anapewaje pewaje we mpe tu hivyo hivyo
 
Wewe ushamkubali unataka sisi tukupe go ahead.!!
Ila cacutee zoazoa huachi kitu 😹😹😹

Hii episode ya ngapi?
Unaanzisha ugomvi lakini. Kuhusu hao jamaa, nilielezwa nabinti mmoja kuwa ni wahongaji wakuu, hivyo cacutee asione ajabu. Ila huwa wanawabeba mgongoni anakuwa kama amebeba mtoto, haoooo guest. Mengine historia.
 
Ni ukweli G sio ugomvi 😹
Kwahiyo cacutee alimbeba wakazama gesti, wewe ndo mchokozi sasa!!
 
Ni ukweli G sio ugomvi 😹
Kwahiyo cacutee alimbeba wakazama gesti, wewe ndo mchokozi sasa!!
Unamrushia kwangu na mimi sina ubavu kama wewe! Ila naamini utanilinda na makombora ya Iran
 
Jichanganye uone kama hutodharirika na kujishushia heshima yako
 
M
Mpe k bhana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…