Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
Sijui VAR za JF eti zinasema hivo ππππππππ
Kwa hiyo anajifanya Luchelele mzunguko ππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sijui VAR za JF eti zinasema hivo ππππππππ
Kwa hiyo anajifanya Luchelele mzunguko ππ
Ila upepo anao kusema kweli na aliupata since alipoweka ule Uzi wa jeshini alizua balaa πSijui VAR za JF eti zinasema hivo πππ
Tulia kwanza, kwani we mgeni humu. Kila mdada anazama zake humu. Hiki ndo kipindi Cha ephen. Kila mdada unayemuona humu alipitia hiyo prime time.nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?.
ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani.
lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti.
nampenda sana _ephen, ila kutokana na kuona kila mtu anampenda nabaki katika utata,
je ni sahihi kuendelea kumpenda _ephen labda ikitokea awe kabisa mke nimuoe kabisa ? au kwa situation hii au nitapata tatizo la afya ya akili ?.
maana nimeona watu wengine wanasema wanampenda au wanatania tuu ?, mimi nipo serious sana.