nimekua nikimpenda sana @_ephen sijui ndo nimekosea handle yake ?.
ila nimempenda sana... sana, siwezi kuelezea ni jinsi gani.
lakini pia nimekuja kugundua watu wengi pia wanampenda huyu Binti.
nampenda sana _ephen, ila kutokana na kuona kila mtu anampenda nabaki katika utata,
je ni sahihi kuendelea kumpenda _ephen labda ikitokea awe kabisa mke nimuoe kabisa ? au kwa situation hii au nitapata tatizo la afya ya akili ?.
maana nimeona watu wengine wanasema wanampenda au wanatania tuu ?, mimi nipo serious sana.