Nilimpiga Mwalimu akahama shule

Inaendeleea
Uncleni tour guide maarafu sana arusha,anafanya kazi na kampuni mbili kwa wakati mmoja ya leopard tours ltd,pamoja na Kearsleys travel &tours,huwa anasafiri sana ulaya,akirudi chugah anakuja na wageni wengi sana,makadirio ya chini sio chini ya wageni 45 mpaka 120,huwa akishuka Airport mtu wa kwanza kumpokea ni mimi,yeye ndo anawatafutia watalii hizo kampuni huko ulaya,akija nao anawatafutia hoteli kali pamoja na kuwazungusha mbuga za wanyama hapa tz,

Baada ya uncle kuniwekea dhamana,tukapitia dox akaniambia nichague nguo za kubadilisha zile za police zishakuwa na nuksi,kweli nikachagua suruale ya kaki ya nembo ya dickies,tishirt na hood hood leusi,chini nikachagua all-star nyeusi,zile za mahabusu nikaziweka mfukoni,maana arusha tuna imani nguo ulizoingia nazo police lazima zipigwe moto ili kuondoa nuksi ya kuingia tena jela,akanichukua mpaka masai camp,nikapiga mtori wangu safi na chapati kadhaa,uncle akaninunulia beer niondoe stress.za kukataliwa na wazazi.

Nakumbuka nilipiga serengeti zangu kama 6 hivi,na uncle akatandika za kutosha,tukatoka hapo kichwani safi,tukaelekea zetu bomani.

Uncle kufika tu akaanza kulihamsha,yani nyie mnamuacha mtoto police siku zote4,au sio mtoto wenu???roho ngumu mpaka kwa damu yenu,asingekuwa anasoma ningeondoka naye Canada,maana hamjui kulea,uncle alimaindi sana,wazazi kimya wamenyamza na ukizingatia uncle anavyonikubali machozi yalinitoka sana,nikajiuliza je uncle asingerudi arusha ningetoka lini??

Nilijifungia gheto kwangu kwa siku 2 bila kutoka nnje,mpaka mama akaanza kupata hofu au nimejiua,akijakugonga kimya,simjibu wala nini.
Itaendeleeea,nipo kikazi nikipata chance ndo naandika
 
Tuko pamoja mpk dingi lako akuue
 
Mzee mimi sipigiki,nilishawahi pigana na.watu wa 5 wote chini sasa weqe mmoja sinitakuua

Wewe kijana, yawezekana hao watu wa 5 walikuwa wachovu wenzako!
Hizo bangi ulizovuta zinakudanganya sana, na hao unaoona wanakuogopa kati yao kuna wanaokuonea huruma!
Kwa bahati mbaya sana, watu wenye ujuzi na uwezo wa hali ya juu wakikutana na wewe mara nyingi hata kama hawajawahi kukuona kabla wanakugundua, na inapotokea umewachokoza basi hujiona mafala na kuondoka ama kukuambia yaishe kiupole!
Imagine unakutana na askari komandoo ambaye humjui umchokoze unadhani atapigana na wewe?
Usione kila mtu ni bwege eti hakuna anayeweza kukupiga!
Unavyojitapa ni kama mandonga tu!
 
Unajua unachokiongea hapa ukijui,kwa watu wanaonijua arusha watakuja hapa.kukujibu,mzee huyo komando labda aje bunduki,nliishawahi kuwekwa kati na kundi la vibaka sio chini ya 8 wote wakakimbia,arusha nina dojo nafundisha taekwondo,sipo hapa kujifagilia,nimeanza taekwondo toka nikiwa na miaka 12,nilishawahi walinda viongozi wengine wananijua,wewe ndo unijui tu kama unataka niku ekeze dojo lilipo sawa,maana sitaki kuandikia mate
 

Mbona makasiriko sana bwashee tulia jamaa atupe mautamu watu wanaruka magujuruu
 
Mbona makasiriko sana bwashee tulia jamaa atupe mautamu watu wanaruka magujuruu
Jamaa anaona watu wachugah ni chai,tatizo wamekulia mikoa yenye amani,ebu avute picha kazaliwa bongonyo katikati,ngoja ninyamaze tu maana hapajui
 
Ukute mkeo na watoto (kama unao) wanakuheshimu sana kumbe unaandika vitu vya ajabu huku
 
[emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…