Nilimpiga Mwalimu akahama shule

😅😅😅 Ali chezea makofi
 
unataka kuwakera walimu ss kwa kumpiga mwenzao 😁🤔
 
Naona watu tunameanza kumhukumu Kiongozi kabla hajafika mwisho mpaka alipoishia kaanza kuwa raia mwema wanasema mchawi mpe mtoto akulelee jamaa akaanza kudili na wavuta bangi kwenye biblia kuna mtu aliwaua sana wakristo ila alibadilika na kuwa mtu mwema jamaa anatoa kama confession yake.

Asilimia kubwa ya watu either wana past mbaya au nzuri past zetu zimetufanya tujifunze mengi kutokana na makosa kwani mpaka leo si bado kuna watu wanavuta hizo bange nakumbuka mpaka speaker alisema kuna maraia bungeni wapimwe cannabidoid test

Tusihukumu
 
Mkuu umenena safi sana
 
Walimu wana shida sana, matoto ya hivyo si muyafukuze shule tu, usipigane naye
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…