wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
nyumba na mke si wako tena. Ulimtenga kwa miaka mitano na kwa muda huo ina maana ndoa ilikufa. Kwa miaka mitano hukutoa matunzo kwa familia yako. gharama ya kuitunza familia kwa miaka 5 ndiyo dhamani ya hiyo nyumba-kwa hiyo nyumba siyo yako tena ni ya huyu kidume aliyekutunzia familia yako.