wajingawatu
JF-Expert Member
- Jan 20, 2013
- 2,046
- 2,453
Sidhani kama umekosea
Umejibu kisheria kama Kaveli au umejibu ki-kijiweninyumba na mke si wako tena. Ulimtenga kwa miaka mitano na kwa muda huo ina maana ndoa ilikufa. Kwa miaka mitano hukutoa matunzo kwa familia yako. gharama ya kuitunza familia kwa miaka 5 ndiyo dhamani ya hiyo nyumba-kwa hiyo nyumba siyo yako tena ni ya huyu kidume aliyekutunzia familia yako.
Kosa lako na kutomaintain communication na mkeo ulipokuwa Angola. Ulitaka akusubiri mpaka lini wakati hajui ulipo? Kama ndoa ni ya Kiislamu basi fahamu kuwa uislamu umeweka limit ya muda kwa situation kama hiyo yako, ikiwa mkeo hana taarifa zako kwa muda wote wa miaka hiyo uliyokaa bila mawasiliano wala makubaliano wala kumuaga ,jua kuwa ndoa HAKUNA HAPO. huwezi kumuweka binti wa watu "kifungoni" kiasi hicho bila makubaliano. Kama ndoa ilikuwa ni ya dini nyingine hapo sitii neno mana sina uelewa na huko, wajuzi watakuja kueleza.
Ama suala la nyumba hapo pana jasho lako na una haki ya kulitetea.
Aaaah,umenikumbusha primary na hili TANGAZOChai bora kilele cha ubora...
Chai bora ni majani ya Tatepa...
Aaaah,umenikumbusha primary na hili TANGAZO
Pole sana ndugu, hayo yote ni mitiani ya dunia chamsingi piga miyo konde huna haja ya kumshtaki uyo bibie,
mwachie MUNGU wewe tafuta kukaa na watoto wako, mwachie hiyo nyumba,
tengeneza maisha yako na watoto wako, maana sidhani kama utarudia makosa ya nyuma ndugu yangu,
maani usijilaum pindi unapokosea bali jifunzi na utafakari ni wapi ulipo anguka ili usianguke tena,
mwisho
rudi kwa MUNGU maana dunia na vyote ni ubatili yeye atakuongoza katika njia iliyo nyooka,
na utaishi maisha ya furaha na Amani, yenye baraka tele, maana kwake hakuna majuto,
Mi nakupongeza kwa ku fight... Aisee hii story yako ni inspiration kwa mabaharia wengine
nyumba na mke si wako tena. Ulimtenga kwa miaka mitano na kwa muda huo ina maana ndoa ilikufa. Kwa miaka mitano hukutoa matunzo kwa familia yako. gharama ya kuitunza familia kwa miaka 5 ndiyo dhamani ya hiyo nyumba-kwa hiyo nyumba siyo yako tena ni ya huyu kidume aliyekutunzia familia yako.
Chai bora kilele cha ubora...
Chai bora ni majani ya Tatepa...
Kaka ile tigo hupatikani...
Pm uliblock tokea sijui mwaka gani...
Haya nakupataje?
duh!! mademu wazuri hawawezagi kabisa kuvumilia shida mana km ana mtot wa miaka 3 ina mana alizalishwa mapema sana tuu.
any way how is freetown uko angola kifursa na changamoto zake ni zipi? km hutojali share nasi mkuu
Kosa lako na kutomaintain communication na mkeo ulipokuwa Angola. Ulitaka akusubiri mpaka lini wakati hajui ulipo? Kama ndoa ni ya Kiislamu basi fahamu kuwa uislamu umeweka limit ya muda kwa situation kama hiyo yako, ikiwa mkeo hana taarifa zako kwa muda wote wa miaka hiyo uliyokaa bila mawasiliano wala makubaliano wala kumuaga ,jua kuwa ndoa HAKUNA HAPO. huwezi kumuweka binti wa watu "kifungoni" kiasi hicho bila makubaliano. Kama ndoa ilikuwa ni ya dini nyingine hapo sitii neno mana sina uelewa na huko, wajuzi watakuja kueleza.
Ama suala la nyumba hapo pana jasho lako na una haki ya kulitetea.
Pole sana mwenye makosa yote ni wewe mwenyewe huwezi muacha mkeo kipindi chote hicho bila taarifa yoyote,kikubwa pigania hiyo nyumba tu,hatuwezi jua ilikuwaje mpaka jina likabadilishwa labda mkeo aliuza jamaa akainunua na akaamua kuoa kabisa.