Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwaka 2006 nilipata matatizo kazini, nikafukuzwa kazi tulishikwa red handed mim ina mwenzangu tukiuza mafuta ya kampuni, nilikua nafanya kazi kwenye kampuni ya mafuta Kurasini.
Kwa kweli nilikua na hela sana kutokana na kitengo nilichokuwepo, mabosi walinitumia mimi kuiba mafuta ya kampuni na mwisho tunagawana.Bahati mbaya mabosi waligombana mmoja akaamua kutuchoma, dili likabumbuluka na jumba bovu likaniangukia mimi ukawa ndio mwisho wangu hapo.
Kosa lako kubwa lilikuwa katika kuchagua mke. Si kila mwenye jinsi ya kike anafaa kuwa mke Na mama. Hujachelewa pigania haki ya wanao tu.
Hahaha...usije ukaimba ile "Chinese tea " tu.
Acha ufala ukipigiwa simu hupokei
Mi nitaftie dili za Angola na Mimi.
Dili zile hupigi tena?
Bado napiga...I was just trying to divert from the story.
Halafu siku hizi tuna watu wa contract ndo wanakuwa na priority zaidi.
Yaani kuna baadhi ya binadamu akili zao sijui ziko miguuni wanazitembelea tu.......
Hivi unammilikishaje mwanaume mwingine nyumba????
Kaka ile tigo hupatikani...
Pm uliblock tokea sijui mwaka gani...
Haya nakupataje?
Hebuuu ufafanuzi hapa!
Watu8
Hahaha....kijana hebu acha fujo
basically, talaka ikishakuwa granted by court, hufuatia impact kuu 3:
(a) kugawana mali za ndoa (distribution of matrimonial properties). Hapa mali zinazohusika ni zile tu zilizopatikana/zilizochumwa wakati wa uhai wa ndoa (jointly acquired during the marriage). Na hapa ndipo huibuka swali la je "yupi anapata kiasi gani?" (katika huo mgawanyo wa mali), hili tuliache kwanza.
(b) custody of the children. Uangalizi na malezi ya watoto. Generally, sheria ya ndoa inataka mtoto aged under 7 years, aishi kwa mama. Notably however, katika ku-grant custody ya mtoto, mahakama huzingatia sana maslahi bora ya mtoto (the best interest of the child). Kwamba ni upande upi mtoto akiishi ataenjoy na kupata haki zake zote za msingi including malezi bora, elimu, n.k. Hili limekuwa sensitively reflected kwenye sheria ya mtoto ya 2009.
(c) maintenance of the children. Matunzo ya mtoto. Sheria ya ndoa inaeleza clearly kabsa kwamba jukumu la matunzo ya mtoto/watoto ni la baba (biological father. Matunzo hayo ni including basic needs kama chakula, mavazi, pia elimu, afya, n.k. Note: Suala la matunzo ya mtoto liko pale pale hata kama hamkufunga ndoa, hata kama umemzalisha tu. Nadhani unakumbuka mahakama ilivyoamua ile kesi ya house girl vs igp mahita, juu ya matunzo ya mtoto, mpaka vipimo vya dna vilitumika na mahita akawa bound!! However, mama anaweza saidia matunzo ya mtoto endapo baba hajiwezi kabsa kiuchumi.
Kwaiyo, kama kuna mtoto/watoto na mali za ndoa, mahakama inatakiwa i-compromise izo inshu 3 hapo juu (a to c) in alongside with issuance of talaka.
So kuhusu case ya huyo mdada, kuna possible legal channels mbili: (1) umesema walikuwa wanaishi nyumba ya kupanga, ila kuna nyumba ilijengwa na ikawa registered with hati miliki ya kampuni ya mwanaume. Japo hujaeleza kama nyumba hiyo ilijengwa wakati wa ndoa ama kabla ya ndoa. Now, kama ilijengwa wakati wa ndoa, possibly anaweza akapata haki yake ktk hilo, kwa ku-determine mchango wake wa hali au fedha au huduma kwa mume. Arudi mahakamani ku-establish hiyo issue ya nyumba in terms of mgawanyo wa mali za ndoa, note: Kama tu ilijengwa wakati wa ndoa!
(2) aende mahakamani kufungua kesi ya "matunzo ya watoto" dhidi ya baba wa watoto.
With emphasis: Ni jukumu la baba kuprovide full matunzo kwa watoto wake, huwezi kulikwepa hili kwa mlango wa sheria. Ila kibongo-bongo, akina mama wengi wanaachiwa watoto na kuhangaika nao pekeyao. This is due to the fact that watanzania wengi bado hatupo courageous (not aggressive) kudai haki zetu throuh legal settings zilizopo. Pia our systems for dispensation of justice bado zipo ineffective and very corrupt! So ili kuepuka legal complications plus kupoteza muda na pesa kufuatilia kesi, akina mama wengi huamua kupotezea tu na kukomaa kulea/kutunza watoto pekeyao.
Mkuu, i hope maelezo yangu yamekidhi hoja yako kwa kiasi fulani, japo mwanga wa kuanzia. Naamini wataalamu zaidi wa sheria watatoa michango yao pia. Also, my sincere apologies if my writing irritates, maana nimeandika kwa simu!
-kaveli-