Nilimtelekeza mke wangu, nimerudi nimekuta rafiki yangu kamuoa

kiongozi pole sana kwa yote.....ulifanya makosa kuwatelekeza wanao.....mkeo angekaa na nyege hadi lini?????
hakikisha haki ya wanao inapatikana... adhabu yako inakusubiria.....
 


Kumbe mwizi wa mafuta umerudi. Ngoja tulifanyie kazi!
 
Kosa lako kubwa lilikuwa katika kuchagua mke. Si kila mwenye jinsi ya kike anafaa kuwa mke Na mama. Hujachelewa pigania haki ya wanao tu.

waaapi kwani.alitumwaa mtoroke mkewe hata yeye anamakosa na yeye mwenyewe alinunua mapenzi kwa pesa......zilipoisha akaanza kumbwelambwela


kosa la huyu jamaa ni kununua mapenzi na si vinginevyo

usitumie peeeesa kama fimbo baba....just singin loudly
 
Umeshasema umerudi na mtaji wa kutosha na umeshajenga nyumba kwingine.
Nakushauri wachukue watoto wako ukaishi nao, tafuta mwanamke mwingine uoe.
Kama unaona hujaridhika, hiyo nyumba mliojenga na mkeo muiuze mgawane mali kila mtu aanze kivyake.
Huyo mkeo aendelee kuishi na huyo jamaa wake wewe na familia yako mpya.
 
Kama ulipotea miaka mitano na kuendelea na hamna ambaye alijua ulipo,apo kisheria ni umekufa so na ndoa imekufa,huyo mwanamke atarithi moja kwa moja kama mkeo baada ya ww kufa kisheria.
Inabidi uonyeshe kua hawakufuata procedure znazotakiwa,ila na mwanamke nae ana haki baada ya ww kupotea miaka mi5.
 
Bado napiga...I was just trying to divert from the story.
Halafu siku hizi tuna watu wa contract ndo wanakuwa na priority zaidi.

In two weeks nakutafuta
mambo yanaiva huku pia
 
kosa ulilofanya ni kutelekeza familia yako. kosa ambalo ni moja ya sababu inayopelekea ndoa kuvunjika.
 
Hahaha....kijana hebu acha fujo

Poa mkuu, nilitaka nidandie umpe namba yangu useme siku hizi natumia hii!

Hapa najaribu kuchagua ID ipi inafanana fanana ili nibebe PM zako; Watu&, Watv8, Wetu8, Watu8' au VVatu8.

Avatar nabeba kama ilivyo.
 

nimekuelewa sana mkuu nyumba ilijengwa wakati wapo kwenye uchumba ila huyo dada aliyetalakiwa

ndo alikuwa anasimamia ujenzi , mwanaume aliamua kufanya unyama tu. Watoto mmoja ana miaka 7 na

mwingine 4.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…