Nilimuoa kwa huruma ya mimba, moto unazidi kuwaka ndani

Sio kwa huyu mchaga kaka, yaana hata ukila mwezi mzima yy hawazi na hata nikimuonyesha dalili kuwa nataka kwenda nje kuchepuka kwake ni poa tu
Mchagga wa wapi kwanza???
Kaishi kwa moshi au mjini sana???
Kaka hiyo hali ya huyo mwanamke sio kwa sababu ya kabila au vipi? Mimi nilishawai kuwa na wa ivo....ukweli ni kwamba kakukinai yaani hajapenda maisha mliyo nayo ivo anajaribu kukudharau ili aondeke....hatma yake ni majuto.
 
Huyu kayataka acha apambane !
Ndoa katishwa akaingia king ndio akome kuchezea watoto wa watu , mtu mwenywe mlevi.
 
Pole sana mkuu unapitia hali ngumu sana,ila kwaushauli jipe muda wakufanya mabadiliko huyo mwanamke hakufai niwahovyo sana kuwahi kuona dunia hii.
Kutafuta mke alie bora nijambo nzuri zaidi.
Nakukaa singo nibora kwa Afya ya mwili na Akili.
 
sio kweli,dosari ipo kwako
 


Kwa wanaume kama wewe? Ndo maana wanaume wote tunaonekana wajinga, na nawaonea Huruma wanawake wa hii nchi.
 
Safi sana mkuu,utafute heka kwa hasho ye alete ujinga,peleka kwao kabisa ikibidi
 
Du... sasa shida yote hii ya nini na tunaishi mara moja tu.. kumdekeza mtu mzima ni kazi sana mimi nilishindwa.
 
Huyo ni aina ya wanawake ambao kazi yao ni kuzaa tu,suala kulea mtoto hilo siyo jukumu lake.
Kwa hiyo ukimpuuza kwa kudhani kuwa atajali kuhusu kumnyonyesha mtoto itakuwaje hilo yeye hajali kabisa.

Kama ilivyo kwa ng'ombe ambao wakizaa kunyonyesha mpaka wafungwe kamba hata binadamu wapo wa namna hiyo na ndiye huyo mke wa jamaa kwani kwa umri wa huyo mtoto kipaumbele chake ingelikuwa ni kula ili amnyonyeshe mtoto.
 
Sasa si ungemchapa na fimbo kubwa kwa Fujo alafu uone kama haendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…