Nilimuonya mke wangu kuhusu kuchepuka hakunisikia. Nimefanya hii comeback sasa hivi analia tu, Pasaka chungu kwake

Oa kabisa huyo dada na mke wa jamaa
 
Sema hawa wanaoitwa wanaume wa siku hizi ni wajingawajinga! ! !

Hakuna funzo lolote hapa. Ujingaujinga tu.

The worst part is the number of people thinking there's wisdom in this foolishness! ! !

What a pathetic generation!

##Jesusiscoming
Upo sahihi kabisa,hakuna ujinga kama kuutumia mwili wako wewe mwenyewe ili kumkomesha mtu mwingine!
It's a childish behaviour,

Also,Gossip or kiss and tell is widely considered a lack of gentlemanly behavior,representing a breach of discretion,integrity and trust.
 
Usiwapangie watu na familia zao wewe panga familia yako ndio maana kila mtu ana kichwa chake hawezi kutembea na kichwa chako
Hili ni jukwaa huru niko huru kutoa maoni yangu ilimradi sijavunja sheria.Maoni yangu sio sheria hivyo hakuna anaepangiwa. Unatakiwa uelewe kwamba sio kila kinachoandikwa humu kitafurahisha kichwa chako, na pia huwajibiki kunipangia cha kuandika.
 
Mwanaume mwenye akili hashindani na mwanamke wala hakai karibu na mwanamke mchepukaji
 
Ukigongewa na wewe tafuta mnyonge wako mgongee..haipunguzi maumivu ila inaongeza hadhi ya kiume..

Sema mpwa kaenda mbali zaidi katomb.a familia hadi mkamwana😁
Ndio ile unapoishia wewe kuna wenzio ndio wanaanzia hapo 😂😂😂
 
Kama ni kweli umefanya vyema kulipa kisasi lakn ujue vita ndio kwanza mbichi.
Huyo mama, mwanaye wa kike na huyo mchumba wa mdokozi hao hawana kosa lakn umewafedhehesha. Jiandae kwa vita kubwa sana tena ya nguvu za giza, hata kwa familia yako iwe makini sana. Wanawake sio wepesi wa kusamehe jambo kama tunavyodhani
 
Legendary umepotea sana mkuu.
Habar za miaka
 
Innocent kids with a stupid father, watoto ndiyo wanateseka kwa kuwa na wazazi wa hovyo.



Ila sasa, huyo kijana ndio ameishakuwa ndugu yako. Maana atakuwa mjomba wa mtoto wako mmoja.
Hakulifikiria hilo, mjomba anamla mkewe. Kulipiza ngoja naye dogo ampachike mke mimba watoto wawe mabinamu mambo yasiwe mengi 😂



Kizazi alichokitengeneza kitakuja kumtesa sana. Trust me...
Anazalisha kama hao watoto hawatakuja kuwa watu wazima waliobeba chuki na visasi mioyoni mwao.
Na naona watu wengine wanasema, angemzalisha na mama wa kijana, wanashabikia kutengeneza dysfunctional families kama ni jambo la sifa.



Kabla ya kufunga ndoa ni vizuri kupima level ya ujinga ya mwenzi wako!

Kwa mfano, unaweza kumpa hii thread ukamuuliza: unaonaje alichokifanya huyu mtu?

Basi jibu atapata.

Ikumbukwe kila mtu atapata anachostahili!
I agree, pima level ya ujinga.

Inaonekana mtoa mada na mkewe wote wana level moja ya upuuzi na kukosa maadili.
Acha washindane uhuni mpaka wauane!
 
Kuna wapumbavu wamemsifia mbwa huyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…