AXIOM APEX VERBOSE
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 13,769
- 23,676
Mara ya kwanzaHakua na Nia ya kusovu, alitaka kukoleza ili kiwake vizuri, alijaribu kutumia mbinu za kistaarabu kutatua wakamkaidi, basi kaamua kiwake tu.
DuuuhUmefanya mambo ambayo wengi sasa wangefanya tena wengine wangeweza enda mbali na kula hata ba.....mtu
Mkeka ushachanika dahchashout ndugu yangu
Mwisho story ndio kwenye story yenyewe achana na mwanzoDysfunctional families
Anakozaliwa Dogo, anakozaliwa mkeo, wewe mwenyewe na Huyo Mama mtu mzima yaani hovyo Mwanzo mwisho
Tunataka useme nenoNaendelea kusoma comments
End of the story. Ndio maana nikakwambia story ipo mwisho sio mwanzo.Kwa wanawake wa sasa ukiwa na vihela kidogo tu unaweza kuwala kijiji kizima
Shadeeya usikose kupita hapaYaani we cheat with the most weird characters. So pathetic.
Halafu once you catch feelings ndo unakamatwa.
Yes. Very addictive halafu kama una mashosti unawaona wajinga if they are not cheating.
That is why you need to know your woman's circle.
Sumu ya Panya sio binadamuHela yangu ipo kwa namba 5.. Huyu hatoboi mwaka huu
Ukitaka ukae Ukitaka usimame. Utajua mwenyewe.Mbwa kala mbwa, mbele moto nyuma moto.
Wewe ni kiazi utakua huna tofauti na aliesema mafuta lita 1 ni 16,000,000Adhabu wataipata hao watoto wawili wanje. Tena wakiujua ukweli ndo saikokojia zao zitalipuka. ULIZALIWA KWA KISASI CHA BABA YAKO KWA MKEWE
mwinginge ataambiwa BIBI YAKO NI MAMA AKO MKUBWA.
Rubbish. Mleta uzi ni mwehu, jamii hatuhitaji watu kama hawa. October 29 alikuepo wapi huyu???
Mwisho wa story ndio kwenye story yenyewe.Aisee, ameenda kusababisha maumivu mpaka kwa wasio husika, sidhani kama alifikiria yote haya kabla ya kuchukua maamuzi yake ya kulipa kisasi chake.
Unashangaa?Daaah kwa hyo wanaweza fanya ya arsenal na southamptom jana?
Hakuna ujinga km huo na kwa kuhakikisha soma mwisho wa story maana hapo ndipo kwenye story yenyewe usikurupuke.Hata kwa kulogwa
Yaani mtu anapga dabali dabali... Umchome mama, uchome binti yake, uchome mkwe wake halafu hapo mbaya zaidi wote wamejuana na aliyenusurika mimba ni mama tu..
Ningemshauri tu aandae wosia mzuri.
Nyinyi ndio mnaendaga kutafuta Maghorofa marefu na kujiangusha CHINI kwa ujinga wenu. Utamu unao mwenyewe kwanini uteseke?Hana akili timamuyu huyu. Bora angewajeruhi wahusika tu
Ametoa FUNZO.Maajabu haya.. unajiona mjanja kwa kujiongezea majukumu na matatizo.
Ngoja miaka ispgee kidogo ndo utagundua makosa uliyofanya maana unaweza ukasababisha watoto wasipendane.
Ungeishia kuwala tu bila kuzaa nao ingawa na yenyewe ni upuuzi.
Hahaha na yeye kala mama yake na dada yake hapo vipi?Sawa ndugu ila ukweli unabaki pale pale mke wako kaliwa.
Soma mwisho wa story.Good Move. Hapo subiria Comeback ya Mwanamke, Ila kua makini asije kuku wekea Sumu au Kukuendea kwa Mganga..
Ukiweza Fukuza au usiishi nae homme kwa muda, Kama mwaka hv usome mashetani yake yameamua nn
Wewe Pimbi,huyo mtu mwingine nimemuuliza nini? unaweza kuonyesha hilo swali ambalo mimi nimeliuliza?Naunga mkono hoja yako ila sikuungi mkono unapomuuliza mtu mwingine maana yake una akili za kushikiwa be you
Soma kwa hatua tunatumia Ubongo kufikiri sio MAPUMBUWewe Pimbi,huyo mtu mwingine nimemuuliza nini? unaweza kuonyesha hilo swali ambalo mimi nimeliuliza?
Halafu acha shobo na comments zangu,punguza kujipendekeza utaliwa.
@Seran Unakumbuka siku ile uliniambia kua msaliti anaweza kubadilika,so asamehewe?
Wewe ndio kiazi cha mwisho kabisa hapa JF naona umevamia uzi unaquote kila comments na kuandika pumba zako kama kawaida yako,Soma kwa hatua tunatumia Ubongo kufikiri sio MAPUMBU