Nilimwambia mshikaji wangu asitembee na viatu ndani lakini jamaa kasusa na kukasirika

Mike punguza kukaa na raia ,wengi hawajastaarabika
Hata mike nae katokea na bado anaishi uraiani.. .. na wa chomboni mbona ndio wachafu wa kila kitu.. over!.. ni hao hao raia wakakamavu tu na tabia ndo zile zile.. .. ile ni hulka ya mtu tu!
 
hata ww bwana misosi Mwachiluwi umekosea! ulitakiwa umpe introduction mapema kabisa kabla haujamkaribisha mshkaji ndani, kuwa hapa unatakiwa kuvua viatu kabla haujaingia ndani mani, si unajua tena hakuna shemu hapa? angekuelewa master.
 
Duh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…