Nilimwambia mshikaji wangu asitembee na viatu ndani lakini jamaa kasusa na kukasirika

Hata mimi sipendi.Ila mgeni akija kuwa mpole msome kwanza alivyo na mazingira ukiweka sheria sana Africa hii utakosana na watu sana iwe ndg au washikaji nk.

Mimi siwezi muambia siku hiyohiyo.
Haya ni mambo ya kizamani, usimlazie damu mgeni...lazima kuweka mipaka. Anatembea hovyo ndani ya nyumba kwani yeye ni askari kanzu wa CCM anayetafuta mtu wa kumteka na kunyonga?
 
Haya ni mambo ya kizamani, usimlazie damu mgeni...lazima kuweka mipaka. Anatembea hovyo ndani ya nyumba kwani yeye ni askari kanzu wa CCM anayetafuta mtu wa kumteka na kunyonga?
😂😂🙌🙌 dah
 
Haya ni mambo ya kizamani, usimlazie damu mgeni...lazima kuweka mipaka. Anatembea hovyo ndani ya nyumba kwani yeye ni askari kanzu wa CCM anayetafuta mtu wa kumteka na kunyonga?
Sasa kama hutaki hayo si weka sheria kabisa getini kuwa hizi ndizo procedure za kufuata ukiingia kwangu?

Mfano uingiapi lodge si Huwa tunakuta maelekezo/sheria za lodge hiyo wewe unashindwa vipi kuandika na kuandika mlangoni au akifika mpe kwanza.. ukifanya hivyo huo ndo ustaarabu kusubiri aanze kukanyaga kwanza ndo usema ni unafiki.

Weka procedure zako aliona Zina mfaa ataingia hawezi ana pita Hivi

Mfano Kuna bro ni Msabato yeye kaweka ratiba za familia yake zote.

Ninazokumbuka

Mgeni kufika home kwakwe ni mwisho saa2 tofauti na hapo geti halifunguliwi.

Ibada Kila siku saa2:30 usiku

Hurusiwi kwenda na vinywaji vikali yaani pombe au kwenda umeolewa.(Sheria zingine nimesahau)

Hivyo sisi wapiga vyombo Huwa tunaenda tukiwa smart kabisa na jina tumeshambatiza la msabato ..ukitaka kwenda tunasema naenda Kwa Msabato na Kila ndg hakuulizi mara2

Hata kwenye simu nimesave Joshua Msabato.
Huyu ndo hataki unafiki na kumkera mtu waziwazi hakuna mtu huenda amelewa kule au uende pale then tukadhurule halafu saa4 usiku ndo uende hufunguliwi geti otherwise uache Taarifa kuwa unatachelewa

Mfumo wake huu Mimi naupenda
 
Si lazima kuweka tangazo ama procedures kuwapa tahadhali wageni, Mtanzania hapendi kusoma na hata kama utaweka tangazo atajifanya hajaliona. Unafanya exactly alivyofanya huyu jamaa mleta mada, mgeni anakuja nyumbani aje kwa heshima kwani kwako si kwake.....na akijifanya mjuaji unamgombeza au kumkung'uta kisawasawa huku ukimfukuza kwani Watanzania wanaelewa vitu kwa vitendo tu. 'Maamake, this is 2025 siyo tena 1947 ujamaa ulishakufa.
 
Ninyi ni wale mnaofokewa na kuongozwa na mwanamke
 
Mtu unaweza ukakaa zako vizuri oabisa ukawaza chakumshauti mleta uzi alafu kumbe mwenzetu anaongelea ndani na viatu tofauti kabisa.

Anyway shikilia msimamo tu, nasikia utelezi ukapunguza risk za ngoma, kipengele ni mimba na UTI tu
Unawaza ngono tu
 
Sasa unamuita mshikaji halafu unampigisha usafi tena? Halafu inaonekana nyie wote ni watoto
 
Matokeo ya F6 yametoka, muende chuo sasa, mnatusumbua
 
Mimi NIKIJA HAPO natembea tembea na viatu pia situlii sehemu mojaa na ukinifukuza siondoki na Wala Sito ziraaa chochoteee


Nasubiri madiko diko yakooo🤣🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…