kiduku mpapaso
JF-Expert Member
- Oct 30, 2018
- 1,981
- 4,857
HT ndio kila kitu mimi naoanaWakuu kifupi mimi ni music enthusiast, hivyo nazingatia sana quality ya muziki maana ndo burudani yangu kuu! Sasa ni muda mrefu nimetumia Sony zile radio za kizaman zenye cd 3, nimepata quality nzuri ya mziki kwa miaka.
Baada ya kuzingua/kufa, nikashawishika kuchukua soundbar maana kuna nyuzi nyingi zinazisifia humu, sasa baada ya kuichukua siku ya kwanza niliisifia kwamba inatwanga,ila kadiri siku zinavyoenda ikaanza kuniumbua, kifupi sijaridhika kabisa na sound yake!
Hebu nipeni recommendations za kueleweka, hata kama bei imesimama itabidi nijipange tu.
Asante!
😂😂😂😂😂😂 eti eehNikilewa namtumia yule rafiki yangu ambaye ni rafiki yako akofowadie 🤣🤣🤣
Asante madam nimeoiona
200kBei?
Ndugu wapi napata hiyo kitu,Nilikua nataka kununua speaker ambayo ninaweza tembea nayo. Kwa budget yangu nikapata W-King T8, aiseeh mziki inayotoa sina mpango wa kununua sound system nyingine tena.
Ina wattage ngapi ndugu200k
Bei yake 200k, kariakoo unapataNdugu wapi napata hiyo kitu,
Na bei yake vipi?
30WIna wattage ngapi ndugu
Yaani nlipoona tu watts 400 nkajua tu hapa sio issue
Mkuu hivi vi portable Bluetooth speaker mfano Jbl n.k vin sauti ya kutasha ya kueza kuenea kwenye room na bass ya kishindo kama hizi subwooferYaani nlipoona tu watts 400 nkajua tu hapa sio issue
Tafuta kuanzia watts 800 huko
Maduka OG yako wapi?Chukua JBL kuanzia ya laki 7 utojuta nenda maduka OG
Kama unataka JBL ya maana nunua partybox series. Hiyo ndogo ni arround 1.2m og.Mkuu hivi vi portable Bluetooth speaker mfano Jbl n.k vin sauti ya kutasha ya kueza kuenea kwenye room na bass ya kishindo kama hizi subwoofer
Zile zenye buku?Kuna Hisense zina 320W usinunue.
Kwani hizo redio bado zinapatikana mkuu?Kweli mkuu, mpaka nawaza nitafute tu redio nyingine ya mtumba!
Dodoma mitaa gani mkuuZipo mkuu ukitafta sehem wanazouza radio za mtumba zipo nilishawah kuzikuta dodoma kuna maduka zipo vinu vya hatar hapo
Tuhamie wapi mkuu?Achana na mi subwoofer, home theater Wala soundbar