Nilinunua soundbar ya Sony watts 400, 5.1 channels hata sijaielewa!

Dodoma mitaa gani mkuu
Mkuu dodoma mitaa ya mjini sio mwenyeji sana nilikuwa na ndugu ndio nadhan anapajua ila tulienda pale dukan kwa vunja bei kununua jezi tukaenda had mdanani kweny nguo za mtumba kule ndio **** hayo maduka pale niliona maduka mengi tu wanauza.
Kaam n mwenyeji nadhan utakuwa umenielewa usiishie duka moja zunguka zunguka ndio utaona vinu kuna duka niliingia hapo jamaa ndio ana hatar vinu vya kwel sikuwa na hela tu ila nadhan mwisho wa mwaka huu nitakuja dom tena lazma ninunue radio pale.
 
Pamoja sana mkuu
 
kmmke 🤣,
 
Unazifahamu av receiver?
Hizi ni full mkoko kwanza ina channel 5,7 au 9.
Then ina output subwoofer 2. Ukiweka tu moja ni shida. Yaani unaweza kutumia bila hata subwoofer maana bado ni shida.

Ishu ni gharama ujipange. Bei ya babe walker unaweza jikuta unaweka sebuleni
 
HUu ndio music sasa.
 

Attachments

  • images (1).jpeg
    40.3 KB · Views: 3
  • images.jpeg
    5.6 KB · Views: 3
Hiyo lazima itakuwa mashine, kuna spika pia za Bang & Olufsen, mi nina pc ya hp ina hizo spika...yan huwa nainjoy nikisikiliza hivi hivi kuliko kuunga na sound bar maana ni kelele tupu!
Bang & olufen ni shida
 
Mkuu file unazopiga kwa io machine unazitoa wapi(source), Mana machine Kama izo inabidi pia we na audio file yenye nyama sio izi m4a/mp3 za mb tatu ili ikae sawa
Sure bila raw audio formats kama WAV au hata angalau AAC hapo unaweza laumu sound system yako.. kumbe compressed audio formats kama mp3 zinakuangusha..
 
Asante kwa maelezo ya kitaalamu,hebu tushauri ni brand ipi nzuri za kununua ili kusikiliza mziki mzuri nyumbani bila sauti kubwa wala movie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…