Nilipanda basi la usiku kulekea Bukoba, nikalala mapajani kwa mkaka, nilienjoy sana

Mafyangula

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2025
Posts
557
Reaction score
1,039
Utamu wa safari za usiku kwa kutumia mabasi

"Nilisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba kwa basi. Tuliondoka stendi majira ya saa 10 jioni. Bahati nzuri nilikaa siti moja na kijana aliyekuwa mwenye upole na mwenye sura ya kuvutia.

Baada ya usiku kuingia, nilisinzia. Akiwa anaona nimelala, aliniegemeza kwa upole ili nipate nafasi nzuri ya kupumzika. Tulipofika sehemu ya mapumziko, aliniambia nibaki kwenye siti huku yeye akienda kuninunulia chai. Aliporudi aliniletea chai, na kila tuliposimama njiani alikuwa akijitahidi kuhakikisha niko sawa.

Tulipowasili Bukoba, tulishuka pamoja. Kabla ya kuondoka alinipa shilingi 30,000 pamoja na namba yake ya simu. Kwa kweli, ilikuwa safari ya kipekee ambayo sitaweza kuisahau kirahisi.

Wewe, umewahi kukutana na mtu usiyemfahamu kwenye safari akakuonyesha wema wa namna hii? Tuambie uzoefu wako kwenye maoni hapa Chini.
 
Kokubanza tayari umependa ,mtafute ummwqgie maji huku sisi tkushauri nini wakati wa hapa wenyewe tunawatongoza mwaka mzima ?
 
Utamu wa safari za usiku kwa kutumia mabasi

"Nilisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba kwa basi. Tuliondoka stendi majira ya saa 10 jioni. Bahati nzuri nilikaa siti moja na kijana aliyekuwa mwenye upole na mwenye sura ya kuvutia.

Baada ya usiku kuingia, nilisinzia. Akiwa anaona nimelala, aliniegemeza kwa upole ili nipate nafasi nzuri ya kupumzika. Tulipofika sehemu ya mapumziko, aliniambia nibaki kwenye siti huku yeye akienda kuninunulia chai. Aliporudi aliniletea chai, na kila tuliposimama njiani alikuwa akijitahidi kuhakikisha niko sawa.

Tulipowasili Bukoba, tulishuka pamoja. Kabla ya kuondoka alinipa shilingi 30,000 pamoja na namba yake ya simu. Kwa kweli, ilikuwa safari ya kipekee ambayo sitaweza kuisahau kirahisi.

Wewe, umewahi kukutana na mtu usiyemfahamu kwenye safari akakuonyesha wema wa namna hii? Tuambie uzoefu wako kwenye maoni hapa Chini.
Stori haijaisha hii!... malizia story...hakuna watoto humu...

maana naona kabisa... mazungumzo baada ya habari yanatabirika hapa
 
Back
Top Bottom