Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
Dah! Majukumu kaka ila mie nipo mara moja moja sana humuMkuu hii JF ni dunia ujue. Unaweza ukahma majukwaa na ule usumbufu wa kile kifungo kutoka kwa Mamlakq basi ni shida tu

Mzee uliichapa 😃😄😁Vidume wamechachukwa sio poa, haya mambo kwenye safari ni ya kawaida sana mbona.
Miaka hiyo nikiwa nasafkri kwenda BKB wadada walifanya sana hivyo, analala mapajani anajigeuza, unasimamisha hadi anaisikia inavyotuna.
Mkifika mwisho wa safari kila mtu na hamsini zake, sema uzalendo ulinishinda kwa yule Tayana(?), nikala chuma.
Malaya onlineUtamu wa safari za usiku kwa kutumia mabasi
"Nilisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba kwa basi. Tuliondoka stendi majira ya saa 10 jioni. Bahati nzuri nilikaa siti moja na kijana aliyekuwa mwenye upole na mwenye sura ya kuvutia.
Baada ya usiku kuingia, nilisinzia. Akiwa anaona nimelala, aliniegemeza kwa upole ili nipate nafasi nzuri ya kupumzika. Tulipofika sehemu ya mapumziko, aliniambia nibaki kwenye siti huku yeye akienda kuninunulia chai. Aliporudi aliniletea chai, na kila tuliposimama njiani alikuwa akijitahidi kuhakikisha niko sawa.
Tulipowasili Bukoba, tulishuka pamoja. Kabla ya kuondoka alinipa shilingi 30,000 pamoja na namba yake ya simu. Kwa kweli, ilikuwa safari ya kipekee ambayo sitaweza kuisahau kirahisi.
Wewe, umewahi kukutana na mtu usiyemfahamu kwenye safari akakuonyesha wema wa namna hii? Tuambie uzoefu wako kwenye maoni hapa Chini.
Bila shaka mkuu😅Mzee uliichapa 😃😄😁
Nipe sababu kwanini nisikuache😅😅😅Kwa hiyo utaniacha nianguke na usingizi wangu
Unajisikiaje mtoto wa kiume kutuletea mada za watoto wa kike, tena zile za kifikirika! Unatuchukuliaje kwa mfano humu jukwaani?Utamu wa safari za usiku kwa kutumia mabasi
"Nilisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba kwa basi. Tuliondoka stendi majira ya saa 10 jioni. Bahati nzuri nilikaa siti moja na kijana aliyekuwa mwenye upole na mwenye sura ya kuvutia.
Baada ya usiku kuingia, nilisinzia. Akiwa anaona nimelala, aliniegemeza kwa upole ili nipate nafasi nzuri ya kupumzika. Tulipofika sehemu ya mapumziko, aliniambia nibaki kwenye siti huku yeye akienda kuninunulia chai. Aliporudi aliniletea chai, na kila tuliposimama njiani alikuwa akijitahidi kuhakikisha niko sawa.
Tulipowasili Bukoba, tulishuka pamoja. Kabla ya kuondoka alinipa shilingi 30,000 pamoja na namba yake ya simu. Kwa kweli, ilikuwa safari ya kipekee ambayo sitaweza kuisahau kirahisi.
Wewe, umewahi kukutana na mtu usiyemfahamu kwenye safari akakuonyesha wema wa namna hii? Tuambie uzoefu wako kwenye maoni hapa Chini.
Bwashee huu mwandiko ni wa mtoto wa kiume aliyeisahau jinsia yake kwa makusudi.Huyu ni wa kike , sema tu I'd yake haina mbwembwe za kike labda, pia kuna zenye mbwembwe za kike ila nyuma zinaendeshwa na wanaume ,hatuwezi jua🤔
Wasimulie pia ulivyonipa k siku yapili yake.Utamu wa safari za usiku kwa kutumia mabasi
"Nilisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba kwa basi. Tuliondoka stendi majira ya saa 10 jioni. Bahati nzuri nilikaa siti moja na kijana aliyekuwa mwenye upole na mwenye sura ya kuvutia.
Baada ya usiku kuingia, nilisinzia. Akiwa anaona nimelala, aliniegemeza kwa upole ili nipate nafasi nzuri ya kupumzika. Tulipofika sehemu ya mapumziko, aliniambia nibaki kwenye siti huku yeye akienda kuninunulia chai. Aliporudi aliniletea chai, na kila tuliposimama njiani alikuwa akijitahidi kuhakikisha niko sawa.
Tulipowasili Bukoba, tulishuka pamoja. Kabla ya kuondoka alinipa shilingi 30,000 pamoja na namba yake ya simu. Kwa kweli, ilikuwa safari ya kipekee ambayo sitaweza kuisahau kirahisi.
Wewe, umewahi kukutana na mtu usiyemfahamu kwenye safari akakuonyesha wema wa namna hii? Tuambie uzoefu wako kwenye maoni hapa Chini.
😁😁ni ngumu sana kumtetea bwasheeBwashee huu mwandiko ni wa mtoto wa kiume aliyeisahau jinsia yake kwa makusudi.
Huwezi kumuacha mdada wa watu ateseke na wewe upo jamani.Nipe sababu kwanini nisikuache😅😅😅