Mafyangula
JF-Expert Member
- Jan 16, 2025
- 557
- 1,039
Huoni hata ID hiyo ni ya kiume, mambo ya ladies and gentlemen hayoMuandiko kama mtoto wakiume hivi hapa usikute maji ya ugali yalishatiwa ndimu!...π
Kokubanza tayari umependa ,mtafute ummwqgie maji huku sisi tkushauri nini wakati wa hapa wenyewe tunawatongoza mwaka mzima ?Utamu wa safari za usiku kwa kutumia mabasi
"Nilisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba kwa basi. Tuliondoka stendi majira ya saa 10 jioni. Bahati nzuri nilikaa siti moja na kijana aliyekuwa mwenye upole na mwenye sura ya kuvutia.
Baada ya usiku kuingia, nilisinzia. Akiwa anaona nimelala, aliniegemeza kwa upole ili nipate nafasi nzuri ya kupumzika. Tulipofika sehemu ya mapumziko, aliniambia nibaki kwenye siti huku yeye akienda kuninunulia chai. Aliporudi aliniletea chai, na kila tuliposimama njiani alikuwa akijitahidi kuhakikisha niko sawa.
Tulipowasili Bukoba, tulishuka pamoja. Kabla ya kuondoka alinipa shilingi 30,000 pamoja na namba yake ya simu. Kwa kweli, ilikuwa safari ya kipekee ambayo sitaweza kuisahau kirahisi.
Wewe, umewahi kukutana na mtu usiyemfahamu kwenye safari akakuonyesha wema wa namna hii? Tuambie uzoefu wako kwenye maoni hapa Chini.
Sio ndimu tu na korie juu ili ugali uwe wa kutelezaMuandiko kama mtoto wakiume hivi hapa usikute maji ya ugali yalishatiwa ndimu!...π
Utajuaje I'd ni ya kiume bwashee?Huoni hata ID hiyo ni ya kiume, mambo ya ladies and gentlemen hayo
Ni kama vile mods wanavyoweza kubain IDs kadhaa zinazokuwa zinamilikiwa na mtu mmojaUtajuaje I'd ni ya kiume bwashee?
Stori haijaisha hii!... malizia story...hakuna watoto humu...Utamu wa safari za usiku kwa kutumia mabasi
"Nilisafiri kutoka Dar es Salaam kwenda Bukoba kwa basi. Tuliondoka stendi majira ya saa 10 jioni. Bahati nzuri nilikaa siti moja na kijana aliyekuwa mwenye upole na mwenye sura ya kuvutia.
Baada ya usiku kuingia, nilisinzia. Akiwa anaona nimelala, aliniegemeza kwa upole ili nipate nafasi nzuri ya kupumzika. Tulipofika sehemu ya mapumziko, aliniambia nibaki kwenye siti huku yeye akienda kuninunulia chai. Aliporudi aliniletea chai, na kila tuliposimama njiani alikuwa akijitahidi kuhakikisha niko sawa.
Tulipowasili Bukoba, tulishuka pamoja. Kabla ya kuondoka alinipa shilingi 30,000 pamoja na namba yake ya simu. Kwa kweli, ilikuwa safari ya kipekee ambayo sitaweza kuisahau kirahisi.
Wewe, umewahi kukutana na mtu usiyemfahamu kwenye safari akakuonyesha wema wa namna hii? Tuambie uzoefu wako kwenye maoni hapa Chini.
Huyu ni wa kike , sema tu I'd yake haina mbwembwe za kike labda, pia kuna zenye mbwembwe za kike ila nyuma zinaendeshwa na wanaume ,hatuwezi juaπ€Ni kama vile mods wanavyoweza kubain IDs kadhaa zinazokuwa zinamilikiwa na mtu mmoja
Huwa zina sound yake bwashee
πππ diara katoka golini hapaMuandiko kama mtoto wakiume hivi hapa usikute maji ya ugali yalishatiwa ndimu!...π