Nilipanda basi la usiku kulekea Bukoba, nikalala mapajani kwa mkaka, nilienjoy sana

Mzee uliichapa πŸ˜ƒπŸ˜„πŸ˜
 
Taa ya chemli imemeza utambi...
 
Biashara inatangazwa kimkakati, nikuhakikishie tu bibie kuwa huku JF wateja ni wachache mno. Huku JF kila mtu Hali wauzaji uchi, kila mtu ana Dem mkali kuliko wewe, kila mtu ana hela humu, kila mtu ana gari humu, kama hujui JF hamna mnyonge humu kila mtu mbabe.
 
Malaya online
 
Unajisikiaje mtoto wa kiume kutuletea mada za watoto wa kike, tena zile za kifikirika! Unatuchukuliaje kwa mfano humu jukwaani?
 
😊😊😊 naona ishu sio Kulala mapajani na care za huyo mwanaume.

Ishu ni WanaJF wanahisi Id ni ya Kiume😎😎😎.

Ila mambo kama haya kwenye safar ndefu yako sana tu.
Ni kuomba bahat ukae siti moja na mtu mnaeendana.

Sio ww ni mwanaume alaf ukakaa na mbibi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, yaan safar nzima ni kuweka Earphone masikion. Huna habar.
 
Wasimulie pia ulivyonipa k siku yapili yake.
 
Nasema hivi

Wanawake wote ni malaya, wanatofautiana mbinu tuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…