Nilipanda basi la usiku kulekea Bukoba, nikalala mapajani kwa mkaka, nilienjoy sana

Fahamu kuwa hata huyo mkaka uliyelala kwenye mapaja yake naye pia ali enjoy
 
Yn ghafla tuu hamjuani afu akulalie mapajani na ww unaona hiyo ipo poa?
Mlikutana malaya wote.

Nisamehe mpare mwenzangu.
 
Uwa silagi sana safari na nilikaa na mama mtu mzima sana yaani naweza kumuita mama yangu Kwa umri ila ni mama walee wanaojipenda yaani mama flani hivi wa mjini

Alinikuta kwenye basi na akanisalimia nikamuitikia Kisha nikamwamkia akasema Kwa kutania , kuwa vizuri kunisalimia tu habari Yako ila kuamkia imekaa kizamani so utani tukazoeana sit yetu ikawa na muunganiko

Tulivyoanza safari aliniomba akae sit ya dirishani na Mimi sikukataa, nikampisha

Nilikuwa ni meshanunua vitafunwa kama korosho,karanga, biskut Kwa wingi Huwa sipendagi kula vyakula vya maji maji nahofia kwenda chooni

Tukafika sehemu gari ikasimama na tukaruhusiwa tukanunue chakula , Mimi sikushuka , akarudi na nyama za kuku take away mbili, akanipa Moja nikasita kuchukua akaniambia hauwezi nikatalia hii ni Kwa akili yako

Nikamwambia Huwa Nina aleji Kuna baadhi ya vitu sili especially kuku, akanambia hao ni kuku na lazima ule, nikacheka,, akanambia unacheka vizuri, yaani ni zinga la mama

Kabla gari halijaondoka tukamuagiza mtu anunue ndimu nyingi ili nile wale kuku nimridhishe yule mama, uwa nikilaga kuku, napata kichefu chefu kinanipelekea kutapika, ndimu nyingi nikaweza kula wale kuku

Baadae kituo kingine Cha kula safari hii amekuja na stake za nyama ya ng'ombe na kunambia nione Sasa na ng'ombe kama uli na ndimu nimekuletea, nikajua tu hii nimeshanunuliwa na huyu Binti wa zamani aisee sikuweza kumkwepa

Tulipofika destination, tulishuka ilikuwa usiku wa saa sita, nilimwambia hapa nachukua boda mpaka ninapokwenda , akanambia kwann? Usitafute chumba upumzike then kesho uende unapoenda kwani hii ni usiku usalama ni mdogo, nikavunga , akanambia kama hauna pesa ya kutosha nambie , Mimi ni kama mama Yako tu , nikatabasamu, akanambia niangalizie mizigo yangu nakuja Sasa hivi

Aisee kumbe kaenda kulipia hotel/guest na kurudi na usafiri utupeleke na mbaya zaidi alichukua chumba kimoja tu

Kitu kilichokuwa kinatembea akilini mwangu ni kuwa " ukimwi sio lazima uufate unaweza ukakufata wewe na sikuwa na dhana yeyote ya ulinzi..
 

Hii tuiteje kati ya haya.
Kula kimasihara au kuliwa kimasihara? 😊😊😊

Anyway mwisho wa Siku ulilomba Mama mtu mzima
 
Yn ghafla tuu hamjuani afu akulalie mapajani na ww unaona hiyo ipo poa?
Mlikutana malaya wote.

Nisamehe mpare mwenzangu.
Sikufanya matusi siku hiyo kijana wangu, yule dada alitokea kuwa mwenyeji wangu mzuri sana pale BKB. Alikuwa na ofisi yake binafsi ambayo niliishia kuwa mteja wake na ikawa ilivyokuwa. Ila kulala mapajani, mabegani mbona kawaida sana safarini mkuu
 
Yn ghafla tuu hamjuani afu akulalie mapajani na ww unaona hiyo ipo poa?
Mlikutana malaya wote.

Nisamehe mpare mwenzangu.
Binti akilala mapajani mwangu niwapo safari atajishtukia chichwa chote kimeloa mbegu zangu (my seeds), maana nitakuwa najipigisha nyeto kimawazo.
 
Kwahiyo kwa 30k na Chai unalala mapajani unaBJ*dhsggsgsgsgshsyuohbcbxh😎
Dau lako ni rafiki sana, washindwe wao tu.
 
Mwandiko wa mwanaume anayejifanya "Ke".
 
No free lunch.......are you holding some information?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…