Nilipata fursa ya kutembelea Australia na New Zealand nilichojifunza ni hiki

Uafrica ni laana


Angalia miji Ambayo tumeanzisha sisi baada ya Uhuru na miji iliyoanzishwa na wazungu kama masaki na osyterbay ndio utajua akili za mtu mweusi ziko vipi.


Tulipiga Marufuku Vipanya kwenda mjini ila tumeruhusu bajaji. Ndio akili za muafrica.
 
África tuna tawala za kipumbavu tu. Nchi kama tanzanla ni nzuri sana
 
Mkuu Canada ni nchi ya 3 kufika, nimetembelea kwenye baadhi ya migodi yao, ila Australia wamenishangaza sana, kumbuka kule ni Oceania ni kama mwisho kabisa wa dunia. Hivyo vinchi vingine ulivyolist ni vyakipumbavu tu Dubai si sehemu inayoweza kubadili maisha yako, labda uende kununua vitu na kuja kuwauzia watu, hawana kitu zaidi ya majengo marefu na barabara nzuri, hawana teknolojia yao wenyewe, wanatumia za wazungu, wakorea kusini na wajapan, hata jengo lao refu wanalo tamba nalo limejengwa na wakorea kusini.
 
Ukweli mchungu,ingawa Nyerere kuwaondoa wazungu bado alikuwa sahihi,shida ni ulafi wa viongozi wetu,wanataka kuwa viongozi ili washibishe matumbo yao na sio kuendeleza nchi....
 
Miaka 100 naona karibu sana tumedumaa karibu miaka 400 huko ndio wenzetu waliishi haya maisha ya kuhamaisishana mambo ya nyumba ni choo..
Miaka 400 juzi tu? Sisi tuko nyuma miaka 1500+ sema kinachotusaidia ni huu muingiliano na wazungu kutuletea teknolojia na miundombinu. Kiakili bado tuko zama za mawe za kale..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…