Sasa unafikiri wenye hizo gari wanasumbuliwa na hizo bei? Unajua bei ya VW DSG oil? 55,000 per litre na inakunywa 6L na watu wanaendesha kama kawa.π sawa bwana! Basi watu wasingemiliki gari. Unacheza na 500k?
Aisee!Rating ya oil filter kama unafanya service kwa wakati huna haja ya kuibadilisha kila service
Wenzetu mna magari kutoka wapi? Huu mwaka wangu wa 10 nimeshamilika zaidi ya Gari tatu Brand tofauti tofauti sijawahi fanya service inayozidi laki moja.Nilijichanganya 2022 nikanunua 2008 Subaru forester.
Siku nimepeleka service naambiwa eti inatumia filter 2.
Huku Coil Tsh 750,000 nikamuuzia boya flani toka Kanda ya Ziwa.
Huko kwenye Gear Box ndio kabisaa usiguseMercedes S class engine oil tu ni zaidi ya 150k.
Hydraulic una maanisha ya gearbox hio ndio inaweza kufika hadi 500k
Alipigwa na fundi, labda iwe Oil Filter na Air Filter na Cabin (AC) Filter.
Hata mimi hawa jamaa nawashangaa! Kufanya service gari dogo cc2000 hadi 2500 ndo utumie zaidi ya 500k? ππWenzetu mna magari kutoka wapi? Huu mwaka wangu wa 10 nimeshamilika zaidi ya Gari tatu Brand tofauti tofauti sijawahi fanya service inayozidi laki moja.
Humu stori za watu zinakufanya uone kama kumiliki gari ni sawa na kumilki treni. Mpaka unaogopa
Mkuu gari yako ni ipi? Service yako unatumia vifaa gani?Wenzetu mna magari kutoka wapi? Huu mwaka wangu wa 10 nimeshamilika zaidi ya Gari tatu Brand tofauti tofauti sijawahi fanya service inayozidi laki moja.
Humu stori za watu zinakufanya uone kama kumiliki gari ni sawa na kumilki treni. Mpaka unaogopa
Watu wanaweka Liquimolly lita 6 + ufundi + filter mbona laki 2 hii hapa.Wenzetu mna magari kutoka wapi? Huu mwaka wangu wa 10 nimeshamilika zaidi ya Gari tatu Brand tofauti tofauti sijawahi fanya service inayozidi laki moja.
Humu stori za watu zinakufanya uone kama kumiliki gari ni sawa na kumilki treni. Mpaka unaogopa
Hapo umechagua oil ya Total imagine Castrol au LiquimollyMkuu gari yako ni ipi? Service yako unatumia vifaa gani?
Mfano tutumie Toyota Crown tuna spare za kichina
Oil filter 10,000
Air filter 25,000
Oil Total 90,000
Ufundi 10,000
Hio si 135,000?
Hayo mahesabu unayajua mwenyewe!Huko kwenye Gear Box ndio kabisaa usiguse
Transmission fluid 204,000
Transmission filter 195,000
Transmission adaptation 50,000
hii ni bei ya oil zetu za kimaskini
Mjerumani sio mchezo kwenye service
Acha kurukaruka. Wewe umetaja S class. Kwanza engine zinaanzoa cc3200Hata mimi hawa jamaa nawashangaa! Kufanya service gari dogo cc2000 hadi 2500 ndo utumie zaidi ya 500? ππ
Naenda na za chini maana hata filter zinatofsutiana.Hapo umechagua oil ya Total imagine Castrol au Liquimolly
At least unamilik taqo. Sio mbayaYaani wengine hata ndoto ya kumiliki magari inafifia tukiona wamiliki wanazozana
Achana nao! Kama service ingekuwa hivyo basi wachache wangekuwa na magari. Mtu anatembea na mafuta kwenye vidumu alafu umwambie service 800k atakuelewa? Hapa tunaongelea magari binafsi madogo cc2000 to cc2500. Kama ni landcruiser engine 5000cc hapo sawaYaani wengine hata ndoto ya kumiliki magari inafifia tukiona wamiliki wanazozana
Dah ntakucheki mkuu ukifika wakati wa Service huku wanatuonea sana, Ningekuwa Dar au Arusha bei ingekuwa chini kidogoAisee nikutafutie hatavkwa 35,000 unapata.