Nilipogundua Subaru Forester unatumia Filter 2 nikauza gari kuepuka stress

Nilipogundua Subaru Forester unatumia Filter 2 nikauza gari kuepuka stress

Nilijichanganya 2022 nikanunua 2008 Subaru forester.

Siku nimepeleka service naambiwa eti inatumia filter 2.

Huku Coil Tsh 750,000 nikamuuzia boya flani toka Kanda ya Ziwa.
Wenzetu mna magari kutoka wapi? Huu mwaka wangu wa 10 nimeshamilika zaidi ya Gari tatu Brand tofauti tofauti sijawahi fanya service inayozidi laki moja.

Humu stori za watu zinakufanya uone kama kumiliki gari ni sawa na kumilki treni. Mpaka unaogopa
 
Mercedes S class engine oil tu ni zaidi ya 150k.
Hydraulic una maanisha ya gearbox hio ndio inaweza kufika hadi 500k
Huko kwenye Gear Box ndio kabisaa usiguse

Transmission fluid 204,000

Transmission filter 195,000

Transmission adaptation 50,000

hii ni bei ya oil zetu za kimaskini

Mjerumani sio mchezo kwenye service
 
Wenzetu mna magari kutoka wapi? Huu mwaka wangu wa 10 nimeshamilika zaidi ya Gari tatu Brand tofauti tofauti sijawahi fanya service inayozidi laki moja.

Humu stori za watu zinakufanya uone kama kumiliki gari ni sawa na kumilki treni. Mpaka unaogopa
Hata mimi hawa jamaa nawashangaa! Kufanya service gari dogo cc2000 hadi 2500 ndo utumie zaidi ya 500k? 😒😏
 
Wenzetu mna magari kutoka wapi? Huu mwaka wangu wa 10 nimeshamilika zaidi ya Gari tatu Brand tofauti tofauti sijawahi fanya service inayozidi laki moja.

Humu stori za watu zinakufanya uone kama kumiliki gari ni sawa na kumilki treni. Mpaka unaogopa
Mkuu gari yako ni ipi? Service yako unatumia vifaa gani?
Mfano tutumie Toyota Crown tuna spare za kichina
Oil filter 10,000
Air filter 25,000
Oil Total 90,000
Ufundi 10,000
Hio si 135,000?
 
Wenzetu mna magari kutoka wapi? Huu mwaka wangu wa 10 nimeshamilika zaidi ya Gari tatu Brand tofauti tofauti sijawahi fanya service inayozidi laki moja.

Humu stori za watu zinakufanya uone kama kumiliki gari ni sawa na kumilki treni. Mpaka unaogopa
Watu wanaweka Liquimolly lita 6 + ufundi + filter mbona laki 2 hii hapa.
 
Huko kwenye Gear Box ndio kabisaa usiguse

Transmission fluid 204,000

Transmission filter 195,000

Transmission adaptation 50,000

hii ni bei ya oil zetu za kimaskini

Mjerumani sio mchezo kwenye service
Hayo mahesabu unayajua mwenyewe!
 
Uliuza gari ya shemej yako ukanunua bodaboda 💩💩💩 of course usingeweza kuihudumia
 
Na wasiwasi hata kama umewahi kumiliki hiyo gari unayoisema!

Hivi mtu umiliki hiyo gari uje uandike uzi bila maelezo yaani kujua ni Filter gani tu iwe shida. Na kwanza kuna uzi wa Forester Subaru. Nyie ndio mnafanya JF iwe kama Facebook siku hizi.
 
Yaani wengine hata ndoto ya kumiliki magari inafifia tukiona wamiliki wanazozana
Achana nao! Kama service ingekuwa hivyo basi wachache wangekuwa na magari. Mtu anatembea na mafuta kwenye vidumu alafu umwambie service 800k atakuelewa? Hapa tunaongelea magari binafsi madogo cc2000 to cc2500. Kama ni landcruiser engine 5000cc hapo sawa
 
Back
Top Bottom