Wakusoma 12
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 4,035
- 11,462
Tundu Lissu ni muujiza wa kuwepo kwake, baada ya kumiminiwa risasi mfululizo 16 na bado anaishi, anatembea na wafuasi wake wamamfuata kila aendako.A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na zaulimwengu wake! Hakika Mungu yupo.
#Ni yeye 2020
Pole mkuu.A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na zaulimwengu wake! Hakika Mungu yupo.
#Ni yeye 2020
Then kuna wanaojiita manabii lakini hawauoni huu unabii..A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na zaulimwengu wake! Hakika Mungu yupo.
#Ni yeye 2020
Ukuu wa Mungu tuliouona kwake ni kielelezo tosha kuwa ni Yeye anayefaa kuwekwa ikulu!Pole mkuu.
Ila hio si dhamana ya kukwea Ikulu.
Ndio ni dhamana ya kwenda ikulu na anaenda. Una swali?Pole mkuu.
Ila hio si dhamana ya kukwea Ikulu.
Mungu hatoi vyeo kwa huruma.Ukuu wa Mungu tuliouona kwake ni kielelezo tosha kuwa ni Yeye anayefaa kuwekwa ikulu!
Mungu ni mwenye huruma. Wewe na ushetani wako kapambane na hali yako.Mungu hatoi vyeo kwa huruma.
Subiri October 28, muwe disappointed.Ndio ni dhamana ya kwenda ikulu na anaenda. Una swali?
Kwa wale wayatimizayo masharti yake huwezi kuwa mzandiki eti Mungu akuonee huruma.Mungu ni mwenye huruma. Wewe na ushetani wako kapambane na hali yako.
Kwa wale wayatimizayo masharti yake huwezi kuwa mzandiki eti Mungu akuonee huruma.Mungu ni mwenye huruma. Wewe na ushetani wako kapambane na hali yako.
ALiyetuma wakampige risasi anajuta snA living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na zaulimwengu wake! Hakika Mungu yupo.
#Ni yeye 2020
Dhamana ya kukwea Ikulu yatoka kwa Mungu, akikupa na ukitenda kinyume basi atakuondoa kama Saul au Nebukadneza au Nicolaus Cheusesco wa Romania au Samwel Doe.Pole mkuu.
Ila hio si dhamana ya kukwea Ikulu.
Utapata tabu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Pole mkuu.
Ila hio si dhamana ya kukwea Ikulu.
Kweli #NIYEYEUkuu wa Mungu tuliouona kwake ni kielelezo tosha kuwa ni Yeye anayefaa kuwekwa ikulu!
oneni huyu Mrundi na uandishi wake mmbovu rudi kwenu bujumbura uka jifunze kwanza kuandika vizuri kisha urudi apaHiyo haitamusaidia kuwa rais!
Rais wa tz hachaguliwi kwa huruma
Wala sipati tabu,Utapata tabu sana[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]