Nilipomuona Lissu jana hapa Mwanza machozi yalinitoka, hakika Mungu yupo na anaishi

Dhamana ya kukwea Ikulu yatoka kwa Mungu, akikupa na ukitenda kinyume basi atakuondoa kama Saul au Nebukadneza au Nicolaus Cheusesco wa Romania au Samwel Doe.
Ishara za kumponya Lissu sisi tunazi tabiri kuwa kapona kwa kusudio maalum. Jee ni lipi hilo?
Litakuwa kumshape Magufuli ila sio kuwa raisi.
 
A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na zaulimwengu wake! Hakika Mungu yupo.
#Ni yeye 2020
Mwambie wale wenzie akina Umber Luth wamehukumiwa jana kifungo cha miaka mitatu gerezani au kulipa faini ya milioni kumi na tano
 
Dhamana ya kukwea Ikulu yatoka kwa Mungu, akikupa na ukitenda kinyume basi atakuondoa kama Saul au Nebukadneza au Nicolaus Cheusesco wa Romania au Samwel Doe.
Ishara za kumponya Lissu sisi tunazi tabiri kuwa kapona kwa kusudio maalum. Jee ni lipi hilo?
Nani katenda kinyume na kwa Nani?
 
A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na zaulimwengu wake! Hakika Mungu yupo.
#Ni yeye 2020
Lissu ni MUUJIZA unaotembea, hakuna namna ya kuelezea uponyaji wake nje ya Mungu.
 
Mimi pia ninamwamini Mungu na kumuabudu.

Subirini October 28.
Muwe surprised na huyo pandikizi la mabeberu.
Kama unamuamini Mungu kweli huwezi kumshabikia magufuli aliyefukuza watu kazi kwa vyeti feki na kumuacha makonda akisema hata kama ana vyeti feki hawezi kumfukuza kazi kwa sababu mchapa kazi!

Kama unamuamini Mungu kweli huwezi mshabikia magufuli aliyemtesa kijana wa watu kabendera aliyekuwa akikosoa tu Sera zake hadi kusababisha kifo cha mama yake!

Kama unamuamini Mungu kweli huwezi kumshabikia magufuli ambayo amesema hawezi peleka maendeleo kwa wapinzani wakati kila mtanzania analipa kodi

Anaemshabikia magufuli ni wakala wa shetani. Nothing more
 
Vice versa is true.

Wewe kwa sababu uko upande wa pili huwezi kuliona hilo.

Utahisi unaonewa. Ila JPM is right hayo mengine ni mapungufu ya kibinadamu.
 
Majibu yako ni hitimisho tosha kuwa hauko kwa Mungu. Kwaheri shetani
 
Back
Top Bottom