Kama unamuamini Mungu kweli huwezi kumshabikia magufuli aliyefukuza watu kazi kwa vyeti feki na kumuacha makonda akisema hata kama ana vyeti feki hawezi kumfukuza kazi kwa sababu mchapa kazi!
Kama unamuamini Mungu kweli huwezi mshabikia magufuli aliyemtesa kijana wa watu kabendera aliyekuwa akikosoa tu Sera zake hadi kusababisha kifo cha mama yake!
Kama unamuamini Mungu kweli huwezi kumshabikia magufuli ambayo amesema hawezi peleka maendeleo kwa wapinzani wakati kila mtanzania analipa kodi
Anaemshabikia magufuli ni wakala wa shetani. Nothing more