Nilipomuona Lissu jana hapa Mwanza machozi yalinitoka, hakika Mungu yupo na anaishi

Pole mkuu.

Ila hio si dhamana ya kukwea Ikulu.
120277806_724486211614343_7270274407021162463_n.jpg

Hiiiiiii
 
A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na zaulimwengu wake! Hakika Mungu yupo.
#Ni yeye 2020
Mungu ni mwema kila wakati
 
Pole mkuu.

Ila hio si dhamana ya kukwea Ikulu.
Ni kweli,lakini bado ni muujiza wa hali ya juu,kushindiliwa marisasi yote hayo na watu wasiojulikana,kukosa fedha za matibabu na kuvuliwa ubunge kwa sababu spika hajui alipokuwa,bado ni muujiza mkubwa sana. Sio bure,Mungu ana makusudi fulani na mtu huyu
 
Makusudi yake ni kumpa changamoto Magufuli.

Si vinginevyo.
 
A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na zaulimwengu wake! Hakika Mungu yupo.
#Ni yeye 2020
Miracle ujinga wakati watu walipanga. Unafahamu maana ya miracle. JF watu wengine ni kama wehu.
Ukweli wa Tundu kupigwa risasi huu hapa na hata siku moja mlevi wa konyagi hajakanusha;

https://www.jamiiforums.com/attachments/1581526/
 
Yaani hakuna dhuluma ambayo sitaisahau maishani juu ya JPM kuruhusu HESLB Kubambikia wahitimu wa Vyuo Vikuu Madeni.Nilipo hitimu deni langu lilikuwa 6mil.Ghafla Sheria ikapita bungeni bila huruma deni likawa 9mil nje kabisa ya mkataba.,pamoja kwamba nilijisalimisha mwenyewe Bodi ya mkopo kuanza kulipa.Jambo lile lilinifanya nisielwe chochote juu ya utendaji na vizuri wa Magu
 
ONDOA SIASA PEMBENI ondoa kila kitu

tukirudi kwenye tukio la lissu na leo hiii tuko nae mtaani

nathubutu kusema HAKUNA MUNGU KAMA WEWE

nakiri kuwa MUNGU yupo,anatembea nasi Hakuna linalomshinda

Lissu ni ushuhuda kuwa MUNGU hashindwi jambo na hajawahi kushindwa.
 
A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na zaulimwengu wake! Hakika Mungu yupo.
#Ni yeye 2020
Unamtafutia kura za huruma? Kwetu hapana!
Mahaba ya nini boss? Tueleze sera gani alizonazo. Finito. Hayo mapenzi ni yako na yeye. sasa hivi tunataka mambo ya uchaguzi ili tuamue kwa ufahamu. Hayo mengine ni yenu na familia zenu.
 
ONDOA SIASA PEMBENI ondoa kila kitu

tukirudi kwenye tukio la lissu na leo hiii tuko nae mtaani

nathubutu kusema HAKUNA MUNGU KAMA WEWE

nakiri kuwa MUNGU yupo,anatembea nasi Hakuna linalomshinda

Lissu ni ushuhuda kuwa MUNGU hashindwi jambo na hajawahi kushindwa.
Unamtafutia kura za huruma
 
, Tundu Lissu ni muujiza wa kuwepo kwake, baada ya kumiminiwa risasi mfululizo 16, na bado anaishi, anatembea na wafuasi wake wamamfuata kila aendako.........

Kama alivyosema mtumishi wa Mungu, Mwingira, kuwa I DON'T UNDERSTAND THIS MIRACLE!
Unamtafutia kura za huruma? Kwetu hapana!
 
Yaap

! Sisi ndio tumempenda na kuona anafaa kutuongoza kutokana na utashi na uelewa wake usiopingika kwenye uongozi utakaozingatia uhuru, haki na maendeleo.
We mpende tu! Mpe vya kwako lakini nchi yetu hapana! Kichwa butu hicho!
 
A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na zaulimwengu wake! Hakika Mungu yupo.
#Ni yeye 2020

Niliwahi kufikir kwamba ingekuwa Tundu anafanya yale yote kwa maslahi yake mwenyewe na si kwa Taifa Zile risasi zingemuua outright.Mungu alimlinda Tundu kwa sababu waliotaka kumua walikuwa wanataka kulinda maslahi yao binafsi na siyo ya Taifa.'Haki huinua Taifa bali dhani ni aibu " Jaribu kuwaza wale walio fanya lile tukio wanajionaje leo,yaani wana kiwango gani majuto
 
A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na zaulimwengu wake! Hakika Mungu yupo.
#Ni yeye 2020
Ni tabia za James hizo za kulilia na muda si mrefu utamfuata.
 
Back
Top Bottom