Nilipomuona Lissu jana hapa Mwanza machozi yalinitoka, hakika Mungu yupo na anaishi

Anayemshabikia magufuli mwenye roho ya kishetani nae ni shetani tu. Huwezi kuwa na roho wa Mungu kweli na ukamshabikia magufuli
Ila kumbuka hakuna aliemkamilifu.

Tukubaliane kwa madhaifu yetu.
Kutofautiana mtazamo sio sababu ya kuniita mimi shetani.

Magufuli si malaika.
 
Hakutegemei wewe kama muuaji uliyeshiriki ktk laana ya kutaka kumuua lisu umpe kura,
Bali watu wa mungu wanatambua na watampa kura
Nimeshiriki mauaji ya nani ewe muongo.

Unaweza thibitisha.?
 
oneni huyu Mrundi na uandishi wake mmbovu rudi kwenu bujumbura uka jifunze kwanza kuandika vizuri kisha urudi apa
Sioni tofauti yoyote kiuandishi Kati yako na huyo uliemuita Mrundi.[emoji855][emoji855]
 
A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na zaulimwengu wake! Hakika Mungu yupo.
#Ni yeye 2020
Hata mimi nilitarajia Lissu hataweza hata kukumbuka jina lake,Mungu anatisha sana
 
Nyie ni vibaraka wa matumbo yenu hampendi ukweli wala madiliko halafu ni vijana wadogo tu sijui mkizeeka mtakuwaje.
Acha kutoa povu mkuu,jipangeni 2025 the game is over.Nizeeke mara ngapi? unaufahamu umri wangu,usikute unaweza kuwa hata mjukuu wangu.
 
Tunataka Sera sio kuwabeza watu au kumsema mtu
Tuambie utatufanyia nini sio muda wote unalia na baba jesca tu kiufupi Lissu anakera sana
 
Acha kutoa povu mkuu,jipangeni 2025 the game is over.Nizeeke mara ngapi? unaufahamu umri wangu,usikute unaweza kuwa hata mjukuu wangu.
Kumbe ni wale wazee wa TANU waliozoea “zidumu fikra za mwenyekiti “, ndio maana nchi hii inabaki nyuma ya mataifa mengine pamoja na rasilimali zote hizi. Badilikeni.
 
Juzi tulikua na vijana wa Geita usiku kucha tukipanga mbinu za kuifuta kabisa CCM kwenye mkoa wetu
 
Kumbe ni wale wazee wa TANU waliozoea “zidumu fikra za mwenyekiti “, ndio maana nchi hii inabaki nyuma ya mataifa mengine pamoja na rasilimali zote hizi. Badilikeni.
Nitabadilika iwapo wapinzani watakuja na sera zinazoeleweka na kuonyesha ushahidi hata wa 10% wa vituko wanavyopayuka majukwaani.
 
Nilipomuona Tundu Lissu mwezi uliopita, nilijikuta mwili unasisimka, nywele zikanisimama na machozi yakanilengalenga. Nikawa na kazi kubwa ya kuzuia machozi mbele za watu. Hii kitu haikuwa ya kawaida kwangu. Yupo MUNGU, yeye yule jana, leo na hata milele.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…