At Calvary
JF-Expert Member
- Aug 22, 2018
- 4,533
- 3,595
La ubelgiji je?Unadhani hilo jambazi la Burundi litaonewa huruma na Mungu?
Sio lazima aje leo.
Mungu ni mwema kila wakatiA living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na zaulimwengu wake! Hakika Mungu yupo.
#Ni yeye 2020
Ni kweli,lakini bado ni muujiza wa hali ya juu,kushindiliwa marisasi yote hayo na watu wasiojulikana,kukosa fedha za matibabu na kuvuliwa ubunge kwa sababu spika hajui alipokuwa,bado ni muujiza mkubwa sana. Sio bure,Mungu ana makusudi fulani na mtu huyuPole mkuu.
Ila hio si dhamana ya kukwea Ikulu.
Makusudi yake ni kumpa changamoto Magufuli.Ni kweli,lakini bado ni muujiza wa hali ya juu,kushindiliwa marisasi yote hayo na watu wasiojulikana,kukosa fedha za matibabu na kuvuliwa ubunge kwa sababu spika hajui alipokuwa,bado ni muujiza mkubwa sana. Sio bure,Mungu ana makusudi fulani na mtu huyu
Miracle ujinga wakati watu walipanga. Unafahamu maana ya miracle. JF watu wengine ni kama wehu.A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na zaulimwengu wake! Hakika Mungu yupo.
#Ni yeye 2020
Unamtafutia kura za huruma? Kwetu hapana!A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na zaulimwengu wake! Hakika Mungu yupo.
#Ni yeye 2020
Unamtafutia kura za hurumaONDOA SIASA PEMBENI ondoa kila kitu
tukirudi kwenye tukio la lissu na leo hiii tuko nae mtaani
nathubutu kusema HAKUNA MUNGU KAMA WEWE
nakiri kuwa MUNGU yupo,anatembea nasi Hakuna linalomshinda
Lissu ni ushuhuda kuwa MUNGU hashindwi jambo na hajawahi kushindwa.
Unamtafutia kura za huruma? Kwetu hapana!, Tundu Lissu ni muujiza wa kuwepo kwake, baada ya kumiminiwa risasi mfululizo 16, na bado anaishi, anatembea na wafuasi wake wamamfuata kila aendako.........
Kama alivyosema mtumishi wa Mungu, Mwingira, kuwa I DON'T UNDERSTAND THIS MIRACLE!
We mpende tu! Mpe vya kwako lakini nchi yetu hapana! Kichwa butu hicho!Yaap
! Sisi ndio tumempenda na kuona anafaa kutuongoza kutokana na utashi na uelewa wake usiopingika kwenye uongozi utakaozingatia uhuru, haki na maendeleo.
A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na zaulimwengu wake! Hakika Mungu yupo.
#Ni yeye 2020
hujui mimi nipo upande gani kwahiyo bora tu unyamaze.Unamtafutia kura za huruma
Ni tabia za James hizo za kulilia na muda si mrefu utamfuata.A living miracle of our time, shalom wapendwa! Binadamu aliyelala usingizi wa mauti karibu miezi 3 kisha kunyanyuka kutoka usingizini huku akiwa hajapoteza kumbukumbu zake na zaulimwengu wake! Hakika Mungu yupo.
#Ni yeye 2020