Naby Keita
JF-Expert Member
- Oct 20, 2011
- 12,893
- 20,089
Wewe kweli una nyota ya ualimuTik Tok ndo kitu gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wewe kweli una nyota ya ualimuTik Tok ndo kitu gani
Kumbe, mm mwenyewe nilijua tu hawa Malaya wanajiuza kwa WhatsAppWanafanya phone sex😁😁😁kuna njemba za chaputa huko zinatumiwa kitumbua zinaambiwa zitaputapu zinavuta mafilingi ya kitu laivu
😂😂😂😂Wewe kweli una nyota ya ualimu
Nipo single kakaSinza ni eneo ambalo si zuri sana kuishi na familia......kama upo mwenyewe tu sawa ila kama una mke na watoto hama
Sasa hawawez kuwaambia kwa njia ya meseji tu whatapp mpaka waongee kwa mdomo. Ngoja nitawaambia mashabiki wao wa chuo wawa Un follow whatappSynchronization, watu wengi wakitap ndani ya muda mfupi, inapelekea iyo Live Stream ipelekwe kwa FYP ya users wengi.
Kwani likes zinanunua tofali?
Kuanzia likes 1000 Kuna ela unalipwa, zikifika likes milioni unalipwa kuanzia Dola 40 ivi,Hafu fanida yake nn
Dah we hii iko above your knowledge.Sasa hawawez kuwaambia kwa njia ya meseji tu whatapp mpaka waongee kwa mdomo. Ngoja nitawaambia mashabiki wao wa chuo wawa Un follow whatapp
Kelele na kebehi kwa walimu kumbe una kaa nyumba ya kupanga sinza na si ajabu itakua kichumba ki1 cha uani una kaa kama dotto magariWajuzi ebu niambieni wana maana gani kusema tap tap screen yani nimepanga apa sinza basi Kuna vibint vinasoma chuo cha ustaw wa jamii mwenge, vikitoka chuo tuu wanaanza makerere yao mpaka usiku wa saa tisa huko...
Jamaa umeona atakuchosha😃Dah we hii iko above your knowledge.
Sema ungewaomba tu wapunguze makelele au wanunulie Sea Piano SP819
Malaya tu hao. Wanajiuza kwa whatapp.Kuanzia likes 1000 Kuna ela unalipwa, zikifika likes milioni unalipwa kuanzia Dola 40 ivi,
Afu ukipata likes nyingi account yako inakua more visible, yaani watu wakifungua akaunti zao wakiwa wanaangalia videos ni rahisi video zako ku pop up
SinzaUnaishi wapi huko ambako unasikia tap tap the screen guys vya vyumba vingine?
😅😅😅😅 Mkuu maisha ni kujibanaKelele na kebehi kwa walimu kumbe una kaa nyumba ya kupanga sinza na si ajabu itakua kichumba ki1 cha uani una kaa kama dotto magari
Bado hawajarudi, Kuja kwao saa tatu,wakifika tu watanikuta mpangonDah we hii iko above your knowledge.
Sema ungewaomba tu wapunguze makelele au wanunulie Sea Piano SP819
Mkuu usijal tutajenga tuUmeamia sinza hongera pambana ujenge sasa, uache zam za kudeki choo, kuchangia umeme, kusubilia mwenzako atoke chooni ndio uingie na wewe
Jamaa umeona atakuchoshaDah we hii iko above your knowledge.
Sema ungewaomba tu wapunguze makelele au wanunulie Sea Piano SP819
Fanya Jenga hata kakibanda sasa uache kulia LiaMalaya tu hao. Wanajiuza kwa whatapp.
AmenMkuu usijal tutajenga tu