Nilipopanga kuna wadada muda wote wanasema tap tap screen, nimakelele tupu

Nilipopanga kuna wadada muda wote wanasema tap tap screen, nimakelele tupu

Synchronization, watu wengi wakitap ndani ya muda mfupi, inapelekea iyo Live Stream ipelekwe kwa FYP ya users wengi.
Sasa hawawez kuwaambia kwa njia ya meseji tu whatapp mpaka waongee kwa mdomo. Ngoja nitawaambia mashabiki wao wa chuo wawa Un follow whatapp
 
Kwani likes zinanunua tofali?
Hafu fanida yake nn
Kuanzia likes 1000 Kuna ela unalipwa, zikifika likes milioni unalipwa kuanzia Dola 40 ivi,

Afu ukipata likes nyingi account yako inakua more visible, yaani watu wakifungua akaunti zao wakiwa wanaangalia videos ni rahisi video zako ku pop up
 
Wajuzi ebu niambieni wana maana gani kusema tap tap screen yani nimepanga apa sinza basi Kuna vibint vinasoma chuo cha ustaw wa jamii mwenge, vikitoka chuo tuu wanaanza makerere yao mpaka usiku wa saa tisa huko...
Kelele na kebehi kwa walimu kumbe una kaa nyumba ya kupanga sinza na si ajabu itakua kichumba ki1 cha uani una kaa kama dotto magari
 
Kuanzia likes 1000 Kuna ela unalipwa, zikifika likes milioni unalipwa kuanzia Dola 40 ivi,

Afu ukipata likes nyingi account yako inakua more visible, yaani watu wakifungua akaunti zao wakiwa wanaangalia videos ni rahisi video zako ku pop up
Malaya tu hao. Wanajiuza kwa whatapp.
 
Back
Top Bottom