Aisee, umeongea kwa uchungu sana. Lakini ni fact.Nilikaa ulaya miaka mingi niliporudi bongo nilipokulia nikajishangaa kupachukia sana, Africa kuna kelele mno, watu kibao Kila kitu kugombania, Kuna uchafu Kila mahali, kuna harufu Kali sio poa, umeme shida, maji shida, usafiri shida, kufuatiliana Kila ulicho nacho lazima wabongo waongee wananiboa kinoma, watu ni wavivu mno, watu hawalipi kodi, viongozi wanatukana raia, misafara kibao tunazuiwa Barabarani, Kuna trafiki wa kuongoza magari na taa zinawaka ushamba mkubwa wananiboa kinoma, wanawake kibao hawajielewi wanaomba omba badala ya kufanya kazi, wake za watu wanadanga, Yani Africa kero tupu!
Mkuu uko nchi gani sasa?Nilikaa ulaya miaka mingi niliporudi bongo nilipokulia nikajishangaa kupachukia sana, Africa kuna kelele mno, watu kibao Kila kitu kugombania, Kuna uchafu Kila mahali, kuna harufu Kali sio poa, umeme shida, maji shida, usafiri shida, kufuatiliana Kila ulicho nacho lazima wabongo waongee wananiboa kinoma, watu ni wavivu mno, watu hawalipi kodi, viongozi wanatukana raia, misafara kibao tunazuiwa Barabarani, Kuna trafiki wa kuongoza magari na taa zinawaka ushamba mkubwa wananiboa kinoma, wanawake kibao hawajielewi wanaomba omba badala ya kufanya kazi, wake za watu wanadanga, Yani Africa kero tupu!
Zanzibar ipi unayosema wewe, hii ya kupanda boat kwa 30kl au ile ya arabuni?Dsm na Tz kwa ujumla pachafu Sana watu wamechoka Mimi Zanzibar naona wapo vzr katika usafi
DSM chafu uuuu watanzania wachafuuuuuMasikini akipata husahau hata kwao
Kiukweli ukikaa ulaya Kwa mda mrefu ukija nyumbani ni pachafu hasaKwa hivyo tumsamehe bure Lema?
Mkuu hii ya kelele ni dhahiri sana, yaani tz kuna kelele sana. Raia hawawezi kufahamu mpaka siku wakisafiri.Nilikaa ulaya miaka mingi niliporudi bongo nilipokulia nikajishangaa kupachukia sana, Africa kuna kelele mno, watu kibao Kila kitu kugombania, Kuna uchafu Kila mahali, kuna harufu Kali sio poa, umeme shida, maji shida, usafiri shida, kufuatiliana Kila ulicho nacho lazima wabongo waongee wananiboa kinoma, watu ni wavivu mno, watu hawalipi kodi, viongozi wanatukana raia, misafara kibao tunazuiwa Barabarani, viongozi wanaibia raia , Kuna trafiki wa kuongoza magari na taa zinawaka ushamba mkubwa wananiboa kinoma, wanawake kibao hawajielewi wanaomba omba badala ya kufanya kazi, wake za watu wanadanga, Yani Africa kero tupu!
Lema amezidi.Kwa hivyo tumsamehe bure Lema?